Habari
Nina kijana wangu aliomba hii kitu na kukamilisha taratibu zote ila mwaka wa pili sasa hawajampatia
Mwenye nayo please anijulishe
Yupo Arusha
Hii ni hatari sana kiongozi;Kupata mashine ya NMB labda uhonge vinginevyo deal na selcom tu, au ndo kama hivyo upate mtu akuuzie au nenda mkoa ambao bado mawakala sio wengi ndo waweza bahatika labda
Natakiwa kuwa na mtaji kias Gani Ili nipate machine ya NMB au CRDB?Kupata mashine ya NMB labda uhonge vinginevyo deal na selcom tu, au ndo kama hivyo upate mtu akuuzie au nenda mkoa ambao bado mawakala sio wengi ndo waweza bahatika labda
Hii ni hatari sana kiongozi;
dogo kasubiria kwa karibia miaka miwili ana ambiwa eti hakuna mashine zilizo letwa. Nafikiri kuna kitu wnatakiwa waki address na kukipatia suluhisho na sio kuacha kutoa machine
Natakiwa kuwa na mtaji kias Gani Ili nipate machine ya NMB au CRDB?