Nahitaji mwanaume ambae mke ni vuvuzuela

Kwa kweli sasa hata kama mwana J.F akiwa mpweke akihitaji mwenza kiukweli hataaminiwa kwani watu wanaleta masihara kwenye mambo nyeti kama haya........................acheni hizo wadau!
 
[COLOR=red said:
Clearing[/COLOR];1048554]Ha ha haaa clearing mie nilikuwa natamani kucheka na nimecheka kweli kweli mpaka mbavu zinaniuma hapa nilipo

wewe una ID 2 na siajabu ni mwanaume na umeji koti mwenyewe
 
Mbona inaonyesha kimekuuma sana inaelekea humuheshimu mumeo wewe ndio maana umekasirika sana

Wala hakijaniuma,pengine mie ndo vuvuzela mwenyewe unaemuhitaji! ....subiri warudi huko ndo tutaongea vizuri na wewe mvunja ndoa..!!
 
wala hakijaniuma,pengine mie ndo vuvuzela mwenyewe unaemuhitaji! ....subiri warudi huko ndo tutaongea vizuri na wewe mvunja ndoa..!!

jamani naomba mnisamehe na yaishe nilikuwa najaribu kutest hasira za watu humu jf tuachane na hii post maana naona mnatamani kunitia ngumi mtanisamehe mnaotafuta wenza kwa kumaanisha nilikuwa nataka kufurahisha genge tu

niambieni kama mmenisamehe basi naapa kutorudia tena
 
wadau nahitaji mwanaume ambae amemchoka mkewe, akirudi nyumbani mke wake makelele makelele hamueshimu, hamsikilizi kisa wana vipato sawa au kamzidi mumewe kidogo kila akiambiwa jeuri mwanaume huna raha, anakwambia hata ukimuacha poa tu hajali kwani ana kipato chake unatamani kumuacha lakini unashindwa kwani hujui uanzie wapi kutafuta mwanamke mwingine njoo kwangu ule raha, nina miaka 31. Ila uwe unamaanisha unataka kuachana nae na sio unakuja kupoozesha machungu tu mi nataka nikupoozeshe machungu mpaka mwisho wa maisha yako.

crap
 
Wadau nahitaji mwanaume ambae amemchoka mkewe, akirudi nyumbani mke wake makelele makelele hamueshimu, hamsikilizi kisa wana vipato sawa au kamzidi mumewe kidogo kila akiambiwa jeuri mwanaume huna raha, anakwambia hata ukimuacha poa tu hajali kwani ana kipato chake unatamani kumuacha lakini unashindwa kwani hujui uanzie wapi kutafuta mwanamke mwingine njoo kwangu ule raha, nina miaka 31. Ila uwe unamaanisha unataka kuachana nae na sio unakuja kupoozesha machungu tu mi nataka nikupoozeshe machungu mpaka mwisho wa maisha yako.

Kwa maneno hayo mekundu inaonesha kabisa kuwa una urafiki na Israel mtoa roho za watu.
 
jamani naomba mnisamehe na yaishe nilikuwa najaribu kutest hasira za watu humu jf tuachane na hii post maana naona mnatamani kunitia ngumi mtanisamehe mnaotafuta wenza kwa kumaanisha nilikuwa nataka kufurahisha genge tu :A S check_03::A S check_03:

niambieni kama mmenisamehe basi naapa kutorudia tena

:closed_2:
 
jamani naomba mnisamehe na yaishe nilikuwa najaribu kutest hasira za watu humu jf tuachane na hii post maana naona mnatamani kunitia ngumi mtanisamehe mnaotafuta wenza kwa kumaanisha nilikuwa nataka kufurahisha genge tu

niambieni kama mmenisamehe basi naapa kutorudia tena
Acha utoto, usirudie tena!!!!!!!!
 
Ni wazi kuwa hutorudia kwa kuona aibu.Ila picha uliyoniachia ni kuwa wewe ni MUHUDUMU WA KUZIMU.
 
Ha ha haaa clearing mie nilikuwa natamani kucheka na nimecheka kweli kweli mpaka mbavu zinaniuma hapa nilipo
Clearing
Hili jukwaa ni la wanaHOJA na si VIOJA
watu kama ninyi huwa nawaf.....a kabisa
 
Wadau nahitaji mwanaume ambae amemchoka mkewe, akirudi nyumbani mke wake makelele makelele hamueshimu, hamsikilizi kisa wana vipato sawa au kamzidi mumewe kidogo kila akiambiwa jeuri mwanaume huna raha, anakwambia hata ukimuacha poa tu hajali kwani ana kipato chake unatamani kumuacha lakini unashindwa kwani hujui uanzie wapi kutafuta mwanamke mwingine njoo kwangu ule raha, nina miaka 31. Ila uwe unamaanisha unataka kuachana nae na sio unakuja kupoozesha machungu tu mi nataka nikupoozeshe machungu mpaka mwisho wa maisha yako.

Hongera kwa kuwa "stress releaser". Manake midume mingi inaumia na ndoa zao kimya kimya
 
Back
Top Bottom