Nahitaji mwanaume ambae mke ni vuvuzuela

Clearing

Member
Aug 26, 2010
31
0
Wadau nahitaji mwanaume ambae amemchoka mkewe, akirudi nyumbani mke wake makelele makelele hamueshimu, hamsikilizi kisa wana vipato sawa au kamzidi mumewe kidogo kila akiambiwa jeuri mwanaume huna raha, anakwambia hata ukimuacha poa tu hajali kwani ana kipato chake unatamani kumuacha lakini unashindwa kwani hujui uanzie wapi kutafuta mwanamke mwingine njoo kwangu ule raha, nina miaka 31. Ila uwe unamaanisha unataka kuachana nae na sio unakuja kupoozesha machungu tu mi nataka nikupoozeshe machungu mpaka mwisho wa maisha yako.
 
Offer ya kifo hiyo.
Napenda kukipiga kipute mchangani lakini huyu clearing ananiondolea ladha ya mchangani kabsaaaa!!!
 
Mimi sifai, bado hatushibani wala hatubakizani....! Aidha, nakushauri uwafuatilie wanawake matajiri nyuma, bila shaka utawapata wengi sana...! Lakini nashindwa kupata namna ya kukuombea kwa Mungu umpate kama utakavyo, maana matakwa yako huambatana na kukosekana amani mahali....! Labda urekebishe qualifications unazozihitaji.
 
Wadau nahitaji mwanaume ambae amemchoka mkewe, akirudi nyumbani mke wake makelele makelele hamueshimu, hamsikilizi kisa wana vipato sawa au kamzidi mumewe kidogo kila akiambiwa jeuri mwanaume huna raha, anakwambia hata ukimuacha poa tu hajali kwani ana kipato chake unatamani kumuacha lakini unashindwa kwani hujui uanzie wapi kutafuta mwanamke mwingine njoo kwangu ule raha, nina miaka 31. Ila uwe unamaanisha unataka kuachana nae na sio unakuja kupoozesha machungu tu mi nataka nikupoozeshe machungu mpaka mwisho wa maisha yako.

Miaka 31 ulikuwa wapi kama wewe ni descent woman???!! Au umeshachoka kuwa family breaker!! Hapa waume wapo na ndoa zoa hawahitaji nungayembe!! Halafu unapenda waume za wapi wewe,!!!! Tafuta kijana ambaye hajaoa, wapo kibao!! Gold diggers, opportunists, you name all!! Tiger Woods kaachana na mkewe rasmi jumatatu wiki hii, ingia mtandao wake tuma application nawe ukachume!! Baadaye utajinyakulia share kubwa sana!!
 
mmmh!yaani kukaribishwa tu kwenye jukwaa!unakuja na thread ya namna hiyo.Aminia babake,we kweli kiboko.
 
Huyu anatutoa ktk mada za maana anatuzungumzisha upuuzi.
Tuepuke kuisoma hii thredi itajifia yenyewe
 
it is a fourth request for certain husband hapa JF alianza aliyeachwa, mara mwenye ukimwi mara aliyefiwa

its is pathetic and i dont know mtu huyu anafaidika vipi na mada anazoanzisha
 
huwa sijibu wala kuchangia mada zenye chembechembe hai za upuuzi....na hii inaweza kuwa mada mbovu ya mwaka hapa jf
 
Huyu anatutoa ktk mada za maana anatuzungumzisha upuuzi.
Tuepuke kuisoma hii thredi itajifia yenyewe

Ha ha haaa clearing mie nilikuwa natamani kucheka na nimecheka kweli kweli mpaka mbavu zinaniuma hapa nilipo
 
huyo ni da sophy

huwa ana mada za kihuni kama hizi kabadili ID
 
Nenda kapange mstari kona baa utawapata wengi kweli kweli

Back
Top Bottom