Nahitaji mwanamke wa kimasai

Nahitaji mwanamke wa kimasai

Wale huwa hawaolewi na waswahili, wanaoana wenyewe kwa wenyewe ila wanaume huoa waswahili pia. Labda uumpate mmasai msomi aliyeachana na mila zao japo huwa hawaachi mila zao pamoja na usomi wao. Huwa hawana ubaguzi linakuja suala la mapenzi mswahili hukubaliwa ila kuoa ni shughuli pevu
 
Wakuu nahitaji kuoa mwanamke wa kimasai ,au mmangati naona wabantu wezangu wamenishinda.mahari naweza afford ngombe kumi.nawasilisha.
Ukubali matokeo. Ukikuta ambaye hajakeketwa,uniambie.
 
Kuna mmoja yupo hapa kijiweni anauza uza dawa za mizizi, vipi atakufaa?
 
Mimi nimeoa Mtatoga au wanajiita watatulu, aiseee kwanza mzuri wa rang na shepu, anajua kunjunjana, msafi, anajua maana ya kuolewa na kulea watoto, mvumilivu ktk shida na kuhimili changamoto. Sijawahi kujutia kumuoa na zaid ya kuona nilichelewa na kupoteza muda na madungaembe ya kiswahili.
Changamoto yake hajui kusema sorry na anasimama na jambo lake akiamua, hapo namvumilia tu ni weakness ambazo nazimudu na tunaenda vizur, its 4th year of marriage
Ndugu niunganishe na mrangj wa kondoa
 
Wamasai si ndiyo huwa wanakeketwa alafu wanakuwa hawana hisia🤔
 
Ndugu niunganishe na mrangj wa kondoa
Tafuta mwenyewe mkuu😆. Warangi Nao ni wazuri, na wana upendo, kuna mmoja nilimvunja bikra wakat nipo Dom, sema sikuwa tayar kuoa time iyo nikambwaga, sio wabaya kaka
 
Wakuu nahitaji kuoa mwanamke wa kimasai ,au mmangati naona wabantu wezangu wamenishinda.mahari naweza afford ngombe kumi.nawasilisha.
WEka namba hapa nikuuzie. Mie nipe nusu ya hao ng'ombe.
 
Wakuu nahitaji kuoa mwanamke wa kimasai ,au mmangati naona wabantu wezangu wamenishinda.mahari naweza afford ngombe kumi.nawasilisha.
Ngombe kumi standard ya ndama 800,000
Kwa kumi milion 8

Upo vizuri
 
Wale huwa hawaolewi na waswahili, wanaoana wenyewe kwa wenyewe ila wanaume huoa waswahili pia. Labda uumpate mmasai msomi aliyeachana na mila zao japo huwa hawaachi mila zao pamoja na usomi wao. Huwa hawana ubaguzi linakuja suala la mapenzi mswahili hukubaliwa ila kuoa ni shughuli pevu
Wanaoana
Ila wa mjini mjini
Hao wandani sijawah ona
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom