- Thread starter
- #21
HahaWamang'ati wapo huku Karatu, ndanindani, kuna wahdzabe na watatoga pia, sema kuoga ni mpaka wanyeshewe na mvua.
HahaWamang'ati wapo huku Karatu, ndanindani, kuna wahdzabe na watatoga pia, sema kuoga ni mpaka wanyeshewe na mvua.
AsheKeiyaa
Sema sidai.Ashe
Sio kweli utahiriwe mara ya pili, ni story tu,Wamasai tuna mtindo wetu wa tohara kama unataka kuwa mmoja wetu ni lazima utahiriwe mara ya pili
Unapopinga jambo uwe na uhakika. Kwetu Kuna kijana alienda mjini kabla hajatahiriwa. Ilipofika wakati wa kutahiriwa akaenda kuchukuliwa kwa nguvu maana alikuwa hataki kuja kutahiriwa. Baadae ikabainika alienda kutahiriwa hospital miaka 5 iliyopita. Alitahiriwa upyaSio kweli utahiriwe mara ya pili, ni story tu,
Kumbe ni wamasai na i hope watakua hawana antennaUnique Flower SweetyCandy wahi shemeji kapatikana tule ubwabwa da mau 😹
Kama ni Masai labda ila mtu back akitaka kuoa Masai mpaka atahiriwe upya ,hapanaUnapopinga jambo uwe na uhakika. Kwetu Kuna kijana alienda mjini kabla hajatahiriwa. Ilipofika wakati wa kutahiriwa akaenda kuchukuliwa kwa nguvu maana alikuwa hataki kuja kutahiriwa. Baadae ikabainika alienda kutahiriwa hospital miaka 5 iliyopita. Alitahiriwa upya
Wewe antena ya nini? Si uchomeke flash video iplay 😹😹😹Kumbe ni wamasai na i hope watakua hawana antenna
Yes. Hiyo ni condition nimemuwekea huyo mdau anayetaka kuoa mpwa yanguKama ni Masai labda ila mtu back akitaka kuoa Masai mpaka atahiriwe upya ,hapana
Ki antenna cha muhimu maana kuna muda flash uwa inapata virus inakwama kuplayWewe antena ya nini? Si uchomeke flash video iplay 😹😹😹
Hapo sawaYes. Hiyo ni condition nimemuwekea huyo mdau anayetaka kuoa mpwa yangu
Njoo huku Farkwa - Kondoa kwa wasandawe Mkuu.Wakuu nahitaji kuoa mwanamke wa kimasai ,au mmangati naona wabantu wezangu wamenishinda.mahari naweza afford ngombe kumi.nawasilisha.
Flash km ina virus, weka cd usugue..!! 😹Ki antenna cha muhimu maana kuna muda flash uwa inapata virus inakwama kuplay
Sawa mkuu najifunza mdogo mdogoSema sidai.
Mimi nimeoa Mtatoga au wanajiita watatulu, aiseee kwanza mzuri wa rang na shepu, anajua kunjunjana, msafi, anajua maana ya kuolewa na kulea watoto, mvumilivu ktk shida na kuhimili changamoto. Sijawahi kujutia kumuoa na zaid ya kuona nilichelewa na kupoteza muda na madungaembe ya kiswahili.Wamang'ati wapo huku Karatu, ndanindani, kuna wahdzabe na watatoga pia, sema kuoga ni mpaka wanyeshewe na mvua.
Hawajakeketwa ?Mimi ni Masai na Nina dada zangu na wapwa zangu hawajaolewa. Kama umetahiriwa kimasai au kama upo tayari kutahiriwa kimasai njoo PM
Iyo si ntasugua mpka cheche zitoke ila aiplayFlash km ina virus, weka cd usugue..!! 😹