Nahitaji mwanamke mwembamba aliyenyooka

Achana na mamamake membamba, yana unyafuzi mpaka kichwani! Yatakuzalia watoto hamnazo! Ila na wewe mkuu una changamoto, ina maana huko kote unakopita hujawahi kuona mwanamke mwembamba mpaka uje kutusumbua Sisi huku?
Mtaani wapo ,ila nikipata anaetokea hapa au anaifahamu Jf huyu hata uelewa wa mambo ni mkubwa kuliko wa mtaani
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…