Nahitaji mwalimu tubadilishane vituo vya kazi

vamda

JF-Expert Member
Aug 1, 2012
867
536
Salamu watanzania. Mimi ni mwalimu wa sekondari. Nipo mjini Kahama. Shule ipo katikati ya mji. Nahitaji mwalimu tubadilishane vituo kutoka Dodoma, Morogoro, Moshi, Tanga au Mtwara. Mawasiliano yangu 0774 205159. Kama huna salio nibipu nitakupigia, au ikiwezekana tuma meseji.
 
Mi nipo halmashauri ya mji njombe.Nahitaji mwalimu tubadilishane toka Dar es salaam aje njombe sekondari.Namba ni 0767953790
 
Mi nipo pwani wilaya ya mkuranga mtu ambaye yupo tayari tubadilishane kati ya DSM wilaya yoyote au kibaha, bagamoyo
 
Badilishaneni na waganda wakenya na waburundi, kazi hzo za vijijin wao wanazitaka.
Acheni maringo subirini shirikisho
 
kama kuna mwalimu wa sekondari
unataka kuja dodoma mjini tafadhali
niPM, uwe unatoka Morogoro
manispaa/mjini, Kibaha au Dar es
salaam..
Especially those newly recruited
 
habari wadau mimi pia ni mwalimu wa sekondari wilaya ya Missenyi natafuta mwalimu wakubadilishana naye toka mikoa ya Kilimanjaro, Arusha, Tanga, Morogoro na Manyara. tutafutane 0763511948
 
Back
Top Bottom