Eshat modo
Member
- Oct 1, 2020
- 9
- 11
Mungu akupatie wa kufanana naweza 🙏Habar
Mimi ni kijana wa miaka 28
Ni hiv positive, hivyo nahitaji meantime mwenye status ya afya kama yangu lengo kuanzisha familia pamoja
mkuu kijana ni youth kwa kimombo so she is right kwani bado hajafikia umri wa kuwa mama yupo miaka ya ujana wake kwa hivo ni kijanaWewe ni kijana halafu unahitaji mume! Binti/msichana/mwanamke ndiyo anayetakiwa kuhitaji mume. Kijana ni mtoto wa kiume.

Akisema tu mimi ni msichana hakuna kitu kitaharibika,sisi siyo wazungu aisee aiweke Kiswahili wengine wakiona hapo juu wanadhani ni kijana mchicha mwiba anataka kuleta balaa.mkuu kijana ni youth kwa kimombo so she is right kwani bado hajafikia umri wa kuwa mama yupo miaka ya ujana wake kwa hivo ni kijana
Ukwel au unatania
Akili zenu bana Lumumba kweli pumba mukichwa, Kijana si jinsia, bali ni hadhi ya umri. Mtu anaweza kuwa kijana wa kiume au kijana wa kike; punguza ujuaji kwa mambo usiyoyajua.Wewe ni kijana halafu unahitaji mume! Binti/msichana/mwanamke ndiyo anayetakiwa kuhitaji mume. Kijana ni mtoto wa kiume.
Tubuni na kuiamini InjiliInasikitisha sana!