Nahitaji mtu mzima nitulie nae

Una mtoto tena wapo vijana tumetulia tatizo mtoto
Tatizo ameshajazwa mimba kwenye kuruka ruka, hamna kijana anaejielewa atabeba mtu na mwanawe kwa ajili ya maisha..game inaanza 1 bila.

Hahaha, abanane na baba mtoto.
 
Kama atakubali kuonyesha kabuli la mzazi mwenzio utaweza kufanikiwa labda kwenye hayo Mawazo yako!
 
Hadi unakubali mwenyewe, inamaana hit and run zimepigwa za kutosha

Eeenh huyo malaika baba yake amekufa mwaka gani?
Wazee wa Quarter Mile ama 0-60 wamepenyeza sana rupia na kuchapa windows😅😅😅 mtoto kaona isiwe tabu!
 
Neno. Atulie from December to March

Awanyie shopping ya mwez December

Alpe kodi

Awaandae watoto shule

Akomaze mahitaj had march alafu muachane.

25 years tayar ume quite kupat mume .

Watu washnde mechi zA0
Kwenye kutulia sasa na hii dec

Sent from my vivo 2015 using JamiiForums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Neno. Atulie from December to March

Awanyie shopping ya mwez December

Alpe kodi

Awaandae watoto shule

Akomaze mahitaj had march alafu muachane.

25 years tayar ume quite kupat mume .

Watu washnde mechi zA0

Sent from my vivo 2015 using JamiiForums mobile app
😁😁😁😁 ukoroooofiiii huo
 
Kwa nyuzi zote za huyu dada nilizopitia nahisi namjua ni dada mmoja anaependa mafanikio bila kufanya kazi nilishawahi kubadilishana nae mawazo na kumshauri Sana ila hakuwahi niambia kama anamtoto ila location anazotaja nahisi namjua

Salome popote ulipo kama ni wewe nakushauri acha hizo mbishe kwanza ni mdada furani mjuaji mwenye sauti ya ukali na nilimwambia hicho sikumficha kama ndo wewe ndugu ushauri wangu ni uleule pambana dada hela yako tamu kuliko ya mtu
Umemharibia tayari
 
Habarini wapendwa,kama kichwa kinavojieleza nahitaji mtu mzma wa kutulia nae nimechoka hekaheka za vijana na uwongo wao.
Mtu mzma ninaemuhitaji awe na umri kuanzia miaka 45 mpaka 60,dini yoyote,kabila lolote pia awe anajiweza kiuchumi.
Mimi ni single mama wa mtoto mmoja niko na 25 years dini ni mkristo pia ni mjasiriamali.
Note:Awe tayari kucheck afya pia nahitaji wa kutulia nae sio hit and run
Serious inbox me
Nafikiri tuzungumze baada ya pasaka😅
 
Nishajitathimini na haya ndo maamuzi yangu,thank you.
Kwa jibu la namna hii wewe ni una tatizo kubwa usije ukatuulia babu yetu kabla ajaimaliza pension yake.

Halafu tafuta hela, mtu ukikosa hela mawazo kama sugar mummy na sugar daddy uwa yana take over kwenye ubongo
 
Habarini wapendwa,kama kichwa kinavojieleza nahitaji mtu mzma wa kutulia nae nimechoka hekaheka za vijana na uwongo wao.
Mtu mzma ninaemuhitaji awe na umri kuanzia miaka 45 mpaka 60,dini yoyote,kabila lolote pia awe anajiweza kiuchumi.
Mimi ni single mama wa mtoto mmoja niko na 25 years dini ni mkristo pia ni mjasiriamali.
Note:Awe tayari kucheck afya pia nahitaji wa kutulia nae sio hit and run
Serious inbox me
Nipo hapa
 
Ifikie hatua hizi Papuchi zenu muwe mnazilipia Kodi, inaonekana mnauwekezaji mzuri tu. TRA muione hii secta itabust uchumi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom