Nahitaji mtoto

ERIC JOSEPH

JF-Expert Member
Aug 10, 2011
567
55
Habari ya leo natumain muwazima wote.twende kwenye maada kwa yeyeto ambaye yupo tayari tupate mtoto kisha tuje kuoana mi nipo tayari kama nawe upo tayari tuwasiliane 0715005450.0784852291au joseph.eric86@yahoo.co.uk
 
Umeshawahi pata mtoto, hata wa kusingiziwa? Je kama risasi zako hazina hasira? Namaanisha kama unajijua huwezi bebesha mtu ujauzito?
Ukaishia kukamua mzigo tu, mlengwa akuchukulie hatua gani?

Vijana wa mjini mna mambo, ukute nyoka wako sumu zake haziui, Nakukeketa kwa mikono.
 
Habari ya leo natumain muwazima wote.twende kwenye maada kwa yeyeto ambaye yupo tayari tupate mtoto kisha tuje kuoana mi nipo tayari kama nawe upo tayari tuwasiliane 0715005450.0784852291au joseph.eric86@yahoo.co.uk
Lakini Erick pamoja na uhitaji wako wa kuzaa sijui kuoa naona kama umetumia njia ambayo haitakuwa na tija kubwa. Labda kama unafanya comedy.
 
Mshikaji una sound mbaya kinoma, nilifikiri ni jukwaa la siasa peke yake kwikwi kwikwi kwikwik kwikwi heeeeeeeeh.
rejao bni mtu mkubwa sana hapa hata invisible na paw wanajua akilogg off hata server huwa inagoma utaona tu inaandika we will be back after 5 min ukiona hivo jua rejao kasign outso omba asife maana itakuwa ndo mwisho wa jf
 
Habari ya leo natumain muwazima wote.twende kwenye maada kwa yeyeto ambaye yupo tayari tupate mtoto kisha tuje kuoana mi nipo tayari kama nawe upo tayari tuwasiliane 0715005450.0784852291au joseph.eric86@yahoo.co.uk

kuna dada alikuwa anatafuta wakumuoa akataka kukata tamaa coz hakubahatika, amekuja na maada kuwa sasa anataka mtoto tu, jaribu kupitia post hapo juu then ufanyenae mawasiliano, kama vp muwe pamoja.
 
Back
Top Bottom