Nahitaji mwanamke wa kuoa

Nahitaji mwanamke wa kuoa

Kwa tangazo kama hilo mbona hata mtaani unaweza pata wapo kibao.

Humu watahitaji more details, kama kazi yako, elimu, kipato n.k
 
Acha utani mkuu kwahiyo mitaa unayoishi mademu hamna?kama hizi ni gia za kuendelea kuzagamua dada zetu mseme.
 
Kaka umejipangaje? Ndoa ni taasisi ngumu sana, natamani nikushauri ufanye mambo ya msingi kwanza uachane na ndoa,kama huyo mke unamtafuta humu utaishia kulia na kusaga meno,kosea vyote ila usikosee kuoa.
 
Unatengeneza miale ya kutapeliwa broo.
Pia kuna jukwaa la kujieleza na kueleza sifa za mwanamke ambae unamtaka
"LOVE CONNECT" Kule utakuwa chini ya uwangalizi wa Moderetor
 
Back
Top Bottom