Mpigania uhuru wa pili
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 3,450
- 6,496
Hizo ni changamoto za kawaida kwenye maishaHello JF Family..
Need a HELP
I’ve been in a relationship with a man ambaye hatukujuana vizuri (I regret it🥹) we date for one year, at that time wakat tunaanza dating nilikuwa single for 2 years.
Mwanzo nilijua tunaweza achana muda wowote kwasababu simjui Freshii maybe ana girlfriend wake huku siku zinavyoenda penzi likakolea nazi 25.
To be honest nilivyokuwa kwenye hayo mahusiano nlkua sio mtu wa kumsumbua hata kidogo, nlkua namuacha kama akipata muda atanichek asiponichek sina noma pia ( I was busy minding my own business) and I never cheated.
Baada ya muda mawasiliano yakapungua kabisa, pia alkua ananikwepa nisiende kwake.
Actually mimi nina INTUITION, nilihisi kitu na kweli baadae he confessed kwamba he was going through alot the reason is because mama kamchagulia mtu wa kumuoa ( ila wanaume nyie ni mbwa, mtafutage sababu zenye mashiko)
Until now I know he’s lying for everything[emoji3064][emoji3064][emoji3064] but he doesn’t know kama najua ( kipenda roho[emoji38][emoji119])
And I decided to cut him off but akinichek nashindwa mu ignore kabisa[emoji22]. Nimelia sana saana.
Nowadays nakuwa na hasira sana[emoji3064][emoji3064][emoji3064]. Yani nikiskia mtoto wa mtu ananiambia ananipenda Natamani nimtukane[emoji1787]
Lastly he said even if I get married to another man / when he get married hatoniacha (hii ndo inanipa utata) MENS NAOMBA MNIJIBU
NB: I’m 25[emoji16]
Nashindwa aisee😂😂inachekesha sana.Weka hisia basiii[emoji28]
Nashindwa aisee[emoji23][emoji23]inachekesha sana.
Ogopa mwanamke anayechanganya vi-ingereza vya kuchovya chovya na kiswahili kama anachnaganya mahindi na maharage.Hello JF Family..
Need a HELP
I’ve been in a relationship with a man ambaye hatukujuana vizuri (I regret it🥹) we date for one year, at that time wakat tunaanza dating nilikuwa single for 2 years.
Mwanzo nilijua tunaweza achana muda wowote kwasababu simjui Freshii maybe ana girlfriend wake huku siku zinavyoenda penzi likakolea nazi 25.
To be honest nilivyokuwa kwenye hayo mahusiano nlkua sio mtu wa kumsumbua hata kidogo, nlkua namuacha kama akipata muda atanichek asiponichek sina noma pia ( I was busy minding my own business) and I never cheated.
Baada ya muda mawasiliano yakapungua kabisa, pia alkua ananikwepa nisiende kwake.
Actually mimi nina INTUITION, nilihisi kitu na kweli baadae he confessed kwamba he was going through alot the reason is because mama kamchagulia mtu wa kumuoa ( ila wanaume nyie ni mbwa, mtafutage sababu zenye mashiko)
Until now I know he’s lying for everything[emoji3064][emoji3064][emoji3064] but he doesn’t know kama najua ( kipenda roho[emoji38][emoji119])
And I decided to cut him off but akinichek nashindwa mu ignore kabisa[emoji22]. Nimelia sana saana.
Nowadays nakuwa na hasira sana[emoji3064][emoji3064][emoji3064]. Yani nikiskia mtoto wa mtu ananiambia ananipenda Natamani nimtukane[emoji1787]
Lastly he said even if I get married to another man / when he get married hatoniacha (hii ndo inanipa utata) MENS NAOMBA MNIJIBU
NB: I’m 25[emoji16]
Utamsahau tu wala usijalNajitahidi kumsahau lkn akinitafuta tu
Naanza kumuwaza tena, anajua he’s my weakness [emoji2356][emoji2356]
Uza hyo Infinix upate mtaji wa kutembeza njegere mtaani...bado hadhi ya kuconversate na watumiaji wa mjani
Hahaha umeshiba futuri kweli kweli Leo sheikhUmekimwaga sana
😂 sasa adanganye?Mama kanichagulia mwanamke wa kuoa 😁😁😁
Katafuta tu sababu ya kumuacha hana lolote.😂 sasa adanganye?
Mwanaume kama hakupendi atakuacha tu hata iweje. Na mwamba kafanya hivyo kwa sababu aliona binti hajiongezi.Katafuta tu sababu ya kumuacha hana lolote.
ni ngumu😂Hata kidogo [emoji2
Binti hajiongezi kwenye nini tena?Mwanaume kama hakupendi atakuacha tu hata iweje. Na mwamba kafanya hivyo kwa sababu aliona binti hajiongezi.