Nahitaji msaada wa haraka, hasira zitaniumbua mimi

Hahahah

Hapa hakuna kuuza sura wala nini mkuu ni kazi kazi tu.

Ila lima mwenyewe Mkuu

Najua utakuja huku mjini kutafuta wanaume wenye hela tuyanunue mahindi yako.

mimi nalima na kuuza mwenyewe.

nyie wanaume wa dar mko busy na shilawadu ila sie ndio tunawalisha
 
Ooooh my miss chagga nimeumia kwa huu uzi wako huwa nakuaminia sanaaaa unawez fanya kitu kuondoa hii Khali kipenz

Jiulize kwenye uzao wenu genetics zaid kuwa watu wenye hasira?? Je jina lako ulipewa la mtu wwa kale kwenye familia yenu?? Je alikuwa na tabia zip kama una jina unatumia sometimes majina ya kupewa yaweza kukuletea na tabia za mhusika kama ndivyo wewe piga maombi.Mungu mwamini akuonddolee vitabia vya mhusikA


Pili best angu ukiwa kwenye mazingira ya kuona khali ya hewa inachafuka ugomvi unaweza kuanza ni vizur ukajiondokea jitahid kuepuka hayo mazingira hasa ya ugomvi .pia jitahid saaana kuongea mara moja tatizo linapotokea usipende kuweka rohon wako hasira za jana na juzi jitahid kabla ya kulala umesameheee vyote anza siku na new smile na peace of mind

Tatu jitahid sana kunywa maji mengiii pind ukiwa na hasira na long breath plus kuwa online hassA kukaa eneo ulipendalo like beach..chumbani kwako au popote weka simu mbali enjoy huo muda fanya personal thinking yako iwe zaid positive hasa uwaze ukuu na mema Mungu alokutendea ..fikiria sucess zako usilipe nafasi lile lililokupa hasira au mm huwa napenda kukaa chumbani nasilkiliza nyimbo za Mungu plus kidunia nalia then narud in normal


Note usijidanganye na pombe hutakaa upate suluhisho kwa maana pombe inakufanya ufanye mengine mabaya ambayo unajikutaa unashusha value yako kwa watu fulan alafu unaishia kusema how shameless woman am i

Jitahid kutakaa mbali na wagomvi wako sometimes mpe ukweli na ondoka usikae kubishana ..kumbuka mpumbavu ndiye anayeweka hasira kifuani mwake kwa hiyo wewe jitahid kuignore sometimes vitu vya ugomvi usipende kugombana
 
Miss chaga ni wewe jamani je unaweza mpiga mateke hata mwanaume?
 
Fanya meditation utafurahia maisha yako
Hasira zote zitayeyuka hata ufanyiwe nini
 
Lilikua shetani hilo..Baby wangu miss chaga yeye akikasirika hua hanipagi haki ya ndoa..
 
asante mamy nimekuelewa mpenzi
 
mimi nalima na kuuza mwenyewe.

nyie wanaume wa dar mko busy na shilawadu ila sie ndio tunawalisha
Tungekuwa tunalima wote nyie mngekuwa mnapata hela wapi Mkuu?

Acheni chuki aisee!
 
Miss chagga unatia watu mateke kweli?! Aah mama hebu jitahidi kuji control mama, pole sana ilo lako nalo ni gonjwa, gonjwa La hasira mimi ninalo ila halijafikia kwako mimi hasira zangu zikipanda navunja vunja tu vitu iwe simu au chochote cha karibu, ni bora hii yangu ila iyo yako ya kujidhuru au kumdhuru mwengine ni hatari sana, jitahidi kujiepusha na mambo yatakayokupelekea kuchukia na kufanya mambo ya aibu
 
Kwakuwa aumejitambua unaelekea kupona.Kama ww ni Jesus be my saviuor type fanya maombi maana yawezekana una pepo.tofauti na hapo epuka kufanya maamuzi yotote ukiwa umekasirika na jifunze kuwa mpole maana hiyo ndiyo tabia halisi ya mtoto wa kike.Angalia mahusiano yako au ndoa yako kama ina matatizo rekebisha,kwa ushauri zaidi pm inaruhusiwa.Nawasilisha.
 
Kwangu mie napendaga hivo yaani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…