Nahitaji msaada wa haraka, hasira zitaniumbua mimi

miss chaga kwa uongo!!!amewai kumuacha kwenye mataa jamaa mmoja pale MABATINI-MBEYA
 
Wasemavyo wao,kila binadamu ana kichaa sema tuna tofautiana!Dawa za vichaa zipo hasa kweny hosp za kubwa za serikal nina uhakika hosp moja moshi Mawenzi wanazo dawa z kutuliza ukichaa kuna mmama namjua huwa kila mwez anakwnd kuchukua hizo dawa
Pole Miss chagga
 
may be kuna jambo/tukio lisilo zuri liliishawahi kuutokea ukiwa mdogo na kukuweza kulimudu maana hukuwa na uwezo huo.
Sasa basi kubali hayo ni mapungufu, jikubali na hiyo kasoro.
Unatakiwa kuwa na mtu unayemuamini ambaye unaweza hata kumueleza mambo yako ya ndani, anaweza akawa ndugu au rafiki, muweke wazi juu ya hilo ila kwa tahadhali..
Mtu unaweza kuwa na hasira na usikate kuongea na mtu yeyote yule but lazima yupo tu ambaye atahisi ukiwa ukiongea naye utajisikia vizuri, huyo ndio tiba yako.
Pia kama mtu mzima lazima ujue kuwa pombe si suluhisho hata kidogo, jiulize umefaidika nini baada ya kunywa hizi pombe zaidi ya kupoteza tu pesa na muda wako huku ukiharibu afya yako..!!!
Itambue furaha yako, kama ni kuchat, kuimba, kusikiliza music, kukaa beach ukipunga upepo, kupiga stori, n.k na uitafute hiyo furahi kila ukiudhiwa na mtu.
 

Huko ulipomwelekeza ni chaka kabisa! Ndo kwanza kichaa kitaongezeka. Kwani hakuna psychologist wa kike UDSM nzima? Kwa nini asiende kwa Mama Tungaraza (PhD)?
 

Ndo maana hukuniPM jana!Dah pole
 
Daah pole dada angu!
Nakushauri tu UOKOKE
sahau kuhusu pombe na kila kitu cha dunia hii, havitakuwa faraja ya kweli
Zaburi 121:1-2
 
Kumbe kweli ndo mana watu wanasema kuoa mchaga ni kujitafutia kifo nimemkumbuka kanumba na yule mmachame Lulu
 
Nipime nikuunganishe Na group la type Yako hata Mimi nilikuwa ivyo but imenitoka pole pombe hausaidii bt uongeza tatizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…