KARANJA 007
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 5,990
- 2,521
Mama Temba,kumbuka alcohol abuse or binge drinking sio kitu kizuri,coz inasababisha unstable personality due to chemical imbalance in the brain,unajikuta ni mtu usietabirika,asubuhi unawaeza kuwa mchanganfu,ifikapo jioni unakuwa na dhiki kupita maelezo,usiku unajikuta uko neutral etc,etc,alcohol ni depressant,hivyo hukusababishia msongo wa mawazo wakati ukiwa sober,jitahidi kunywa alcohol in moderation huku ukijiadjust in variably.Habari zenu wakuu.
Ninatatizo kubwa la hasira nimejaribu kupitia thread za wengine walioomba msaada naona sijafanikiwa .. sasa naomba nijielezee mimi wanasema mficha maradhi kifo kiamuumbua.. naelekea kufa sasa sababu jana nimekasirika nimefanya mambo ya ajabu hapa nilipo mwili unauma kila mahali, natetemeka kama teja sababu ya kunywa pombe sana ..
kwanza nachukua muda kukasirika ila huwa nalipuka kama bomu, unaweza niudhi leo jambo kubwa ila kesho ukaniudhi kidogo nikakufanyia jambo kwanza huwezi elewa na mara nyingi hutegemei reaction ile kwa hiyo huwa nakuwa mshindi nakupa ngumi mateke kukutafuna nikibahatika ndani ya dakika mbili nakuta nimefanya tukio lakutosha..
wakati mwingine nalia sana na ukiniongelesha nalia kwa sauti kama napigwa aibu kwa mtoto wa kike.
nakunywa pombe sana ili nilewe nizime nilale lakini hili nina miezi 10 sijafanya japo jana nimelifanya tena na mimi nilishafanikiwa katika hili naona linanirudia tena...(japo akili yangu na nafsi yangu inaniambia bora kurudia kunywa pombe )
naombeni msaada nifanye nini napo kasirika ..
NB: nikikasirika huwa nashindwa kuongea na ukiona umeniboa naongea jua sijakasirika ila nikaa kimya kaa mbali na mimi... mpaka nawaza au bado na utoto utoto japo ni mkubwa.
asanteni
Interesting,hahaaaa ati akilewa analiwa na yoyote alie karibu,.,........Naomba nielewe kitu kabla sijakushauri
ukipata hasira ndo unaenda kunywa ili ulewe na uzime?
na ukishazima unaliwa? na yoyote alie karibu?
ndo hasira zinaisha after ?
nieleweshe hapo kwanza
Habari zenu wakuu.

Hahahaha huogopi kutafunwa????Unatakiwa upewe penzi zito toka kwangu zitaisha

Amen na asante mkuuPole sana, kwanza usitegemee mazuri tu, tegemea na mabaya pia. Utandewa mazuri na baya so lolote likitokea utanaona ni kwaida ya mambo. Pili yachukulia mambo kimzaha, hata unapoongea na mtu chukulia kama mnafanya mzaha, pale atakopokuuzi utaona ni sehemu ya mzaha. Tatu kama unaongea na mtu ktk simu ikafikia hatua uka/akakasirika kata simu kwanza subiri kwa dak 1 then mpigie tena. Nne usipende mabishano, kama mtu amekukukosea usijibizane nae. Tano usijaji maneno ya mtu mwenye hasira, mtu mwenye hasira huongea lolote lililo mbele yake. Sita usipende kuombwa msamaha mtu akikukosea, ukiombwa au usipoombwa msamaha we chukulia poa, kwani kuomba msamaha ni hiyari ya mtu si lazima.Saba na la muhimu sana hakuna binadamu aliye mkamimilifu, hivyo tegemea kukosewa sana, na mtu akikosea ni sehemu ya ubinadamu, kwani makosa hayakuanzia duniani yalianzia mbinguni shetani alipomkosea mungu na Adam alipokula tunda wote walitupwa dunia. Sababu ya ss kuletwa duniani ni kwa sababu ya makosa. So makosa ni asili ya binadamu.
NakuonaInteresting,hahaaaa ati akilewa analiwa na yoyote alie karibu,.,........
Sawa baba tembaMama Temba,kumbuka alcohol abuse or binge drinking sio kitu kizuri,coz inasababisha unstable personality due to chemical imbalance in the brain,unajikuta ni mtu usietabirika,asubuhi unawaeza kuwa mchanganfu,ifikapo jioni unakuwa na dhiki kupita maelezo,usiku unajikuta uko neutral etc,etc,alcohol ni depressant,hivyo hukusababishia msongo wa mawazo wakati ukiwa sober,jitahidi kunywa alcohol in moderation huku ukijiadjust in variably.
Hapana mkuu hii ni issue Imetokea mara nyingiMchumba ndio alikuzingua hadi kufikia hali hiyo?
Umekuja kutoa siri humu,roho imeniuma sana baby,eti wanajamii wanakushauri ufanye mapenzi kwa sana,daah wangejua usiku kucha hatulali mautamu kwa kwenda mbele,sasa sijui labda haufiki Kibo hut au ?Sawa baba temba
Leo utakiona cha mtema kuni mama Temba.Sawa baba temba
Baba temba wanasema Changanya na zakoUmekuja kutoa siri humu,roho imeniuma sana baby,eti wanajamii wanakushauri ufanye mapenzi kwa sana,daah wangejua usiku kucha hatulali mautamu kwa kwenda mbele,sasa sijui labda haufiki Kibo hut au ?
[emoji23]Naomba nielewe kitu kabla sijakushauri
ukipata hasira ndo unaenda kunywa ili ulewe na uzime?
na ukishazima unaliwa? na yoyote alie karibu?
ndo hasira zinaisha after ?
nieleweshe hapo kwanza
NilivyoimissLeo utakiona cha mtema kuni mama Temba.
Mimi hunishindi baby.Nilivyoimiss
Leo tubadili mtandao au unasemaje?Nilivyoimiss
Haaa haaaa we Miss Natafuta unaniachaga hoi..[emoji23] [emoji23] [emoji23]hata nikiambiwa nimefiwa sijali ,sijui baba mgonjwa sijali nimekuwa sijali lolote naishi tu kama mungu alivonipangia