Nahitaji msaada wa haraka, hasira zitaniumbua mimi

Ulishafanyiwa mambo yakukuudhi kidogo kidogo ukiwa mdogo na ukiwa mkubwa sasa moyo wako umejenga kichuguu cha hasira hata kwa vitu vidogo.

Kwanza kukasirika sana kunakuumiza wewe zaidi ya yule utakaye mpiga yeye anapata maumivu ya mwili tu ila wewe unatengeneza sumu hatima ugonjwa wa moyo. Jitahidi kusamehe mabaya unayoyakumbuka waliokufanyia watu hebu iambie nafsi yako nahitaji moyo mwepesi unaijua hakuna binadamu mkamilifu hivyo wakikosea usiwape nafasi. Nicheki inbox nikudirect toward solution
Pole mtani
 
Sawa kaka
 
Asante kaka
 
Tatizo lako ni dogo sana,ni how to control temper,ni matatizo ya kawaida,mimi nilikuwa nna tatizo la kuhis inferior,nililimaliza kwa kusoma sana inspirational books,vilinisaidia sana,mpaka leo nikiwa nna tatizo huwa sipanic sana kama before,so longer umefunguka na kuelewa kuwa hilo ni tatizo utapata solution tu lazima
 
Asante mtani
 
Pole miss chagga, Jifunze kujikubali, pia ujue tu kwamba duniani mapungufu yapo, na kumbuka kuwa hapa duniani; you win some, and you lose some.
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] unaripuka kama bom. Unapiga mateke, na kunywa mbege.

Pole sana
Kuna ndugu yangu nilimigaga na nondo ndiyo huwa kama kuna issue yangu hukaa mbali anasema atalipuka huyo
 
Uuuuuupsiii mm mbona nimekutembelea mara kibao na shida yangu hujanisaidia

Btn mzima wewe za masiku mengi
[emoji23] [emoji23] haya bwana...
Mi mzima nashukuru, hope nawe pia uko poa sana.
 
Hapo mimba itakuwa imekwishaingia
 
Dear...mbona nakuogopa ghafla??

Sasa si utanichakaza sura jamani?
Sijawahi hata kukemea mwanamke, vita vyangu vilikuwa na wanaojifanya vidume, wew ni shahidi cjawahi hata kukunyoshea kidole[emoji23] [emoji8]
 
Halafu me charming sana sema huwa na react kama bomu

Niwe tu mkweli nimecheka sana, eti natetemeka kama teja, nalipuka kama bomu na kupiga mateke. Btw pombe sio nzuri hasa kwa jinsia yako, na kama utaendelea hivi itakuletea matatizo makubwa sana.

Sasa bby boi umempa vip maziwa wakati ulikuwa tungi
 
Sijawahi hata kukemea mwanamke, vita vyangu vilikuwa na wanaojifanya vidume, wew ni shahidi cjawahi hata kukunyoshea kidole[emoji23] [emoji8]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…