Da Pretty
JF-Expert Member
- Dec 9, 2010
- 3,059
- 1,148
Hello!
Naomba mnisaidie wadau, nimemaliza chuo mwaka 2008 nikapata ajira ya mkataba wa mwaka mmoja kabla hata matokeo hayajatoka. Tuliomba na tukafanya interview nikapata kazi.
Kiukweli sikua namfahamu yeyote na baadae nikaomba sehemu nyingine nikapata nikapata pia ila ilikua mwaka wa mwisho wa mradi. Mradi umemalizika June mwaka huu (2010)
Tangu muda huo nipo busy kufanya application lakini siitwi hata kwenye interview! Nafasi zinatoka nyingi ambazo nina uzoefu na ujuzi nazo ila ndio hivyo. Natembelea tovuti mbalimbali hivyo nimeona niwashirikishe najua nitapata hapo kitu.
Nina stashahada ya juu ya ustawi wa jamii,nimefanya kazi kazi katika masuala ya UKIMWI na baadae masuala ya watoto na wanawake.
Nahitaji mawazo yenu.