Nahitaji mpenzi wa kike wa kuendanae beach

Umuoe nani wewe, wenyewe una matatizo kama serikali ya jk....

Sina matatizo Salt! ila yule mwanamke ndio alinichanganya ila naamini nikikupata na ukanipa vizuri,kupika vizuri,kunijali na uache michepuko yako mbona tutaishi tu,tena nitakununulia vitz.serikali ya jk imenizidi matatizo.
 
Husika na kichwa cha ujumbe hapo juu mimi ni kijana wa kiume naomba mpenzi aliye hapa dar ani PM tuelekee beach tukapate upepo natanguliza Asante
Bei ya kipande cha sabuni haifiki hata bei ya daladala kutoka huko kwenu Mbagala Kuu. Kwa nini usinunue hicho kipande cha sabuni ukaingia nacho hapo mto Mzinga ukamaliza shughuli zako? Tena utakuwa umeokoa gharama ya nauli ya daladala Mbagala Kuu-Beach na kurudi.
 
Sina matatizo Salt! ila yule mwanamke ndio alinichanganya ila naamini nikikupata na ukanipa vizuri,kupika vizuri,kunijali na uache michepuko yako mbona tutaishi tu,tena nitakununulia vitz.serikali ya jk imenizidi matatizo.
Nitaacha michepuko chadema ikiingia madarakani....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom