Jambazi
JF-Expert Member
- Jan 18, 2014
- 16,642
- 18,645
Wape moyo kwakweli watanisamehe sinaga mzuka na me weupe yaani sishtuki hata kaduchu, me mweusi awe na jisauti zito hapo usaili utafanyika
Wape moyo kwakweli watanisamehe sinaga mzuka na me weupe yaani sishtuki hata kaduchu, me mweusi awe na jisauti zito hapo usaili utafanyika
Tall, black sema hana besi nipendayo, ana body tata unataka kunigeuza naona hahahahahaaaa
ahahaha ni kweli mkuu ! ndo maana mie naziita mbwembwe tu hzi
We Kweli jambazi
Unipe white? Akuuuuahahaha tupinduane tu bas !teh teh !
haha sipati picha aiseeahahaha tupinduane tu bas !teh teh !
Sikujui lkn nakupendaga sijui mwandiko loh, mimi ke usije shtukaHa ha
Unaongelea weusi upi? Kama wa Obama au Salva Khir. Nakuja pm mimi ni mweusi kama Salva Khir wa Sudan ya kusini.Yaaan kila anaenitongoza n mweis tu kwan m nina nyota gan
Hahahaaa. Mkuu sio wote bana.Atakae kuja kuwaelewa wanawake atakua amefanya kazi kubwa sana. Yani huwa hawaeleweki sijui kwa nini.?
Hivi nyie jema kwenu ni lipi.?
Mmh.Kwani hawana Ub**?
Usijali Mamy. Nakupenda piaSikujui lkn nakupendaga sijui mwandiko loh, mimi ke usije shtuka
Wazuri sana hao mbona
ThanksUsijali Mamy. Nakupenda pia
Black is beauty ingawa hata cheupe kiasi best yanguHahahaaa. Aiseeee.
Rafiki na wewe vp kwa upande wako?
Hahaaa. Basi vizuri sana best.Black is beauty ingawa hata cheupe kiasi best yangu
Poa bestHahaaa. Basi vizuri sana best.