Nahitaji mpenzi lakini awe ngozi nyeupe

Nyie madem mnaotaftaga wazungu ,ni kwamba weng wanakua wameumizwa sasa hua wanadhan akipata mzungu ndo atamkomoa aliyemtenda,kwamba okay,nimempata zaid yako,hahaha,kuna x wangu m1 tuliachana ,baada ya ka mwez hiv et kapiga pic na mzungu whatsapp af akantext tuchat tuu ili nione,nkamuliza ndo shemej akasema ndio,hahahah,cha ajab baada ya wik kadhaa anajileta leta tena ooh nilifanya vle upate wiv,..hahah,nkasema shut the fuc*K up,..move on sasa
 
Habari zenu wanajukwaa,

Kwanza nashukuru sana kwa kunitia moyo katika uzi wangu uliopita.

Pili, nikwamba bado sijakata tamaa nahitaji mpenzi lakini awe ngozi nyeupe(Mzungu) tafadhali dada zangu kina miss chagga, miss natafuta, jjes na wengine wote naombeni maujuzi nifanyeje mdogo wenu.

Note: Sitampa tena mwanaume hela
Nenda ulaya, utafuta mwanaume mweupe Africa utakuwa na utindio wa ubongo
 
Habari zenu wanajukwaa,

Kwanza nashukuru sana kwa kunitia moyo katika uzi wangu uliopita.

Pili, nikwamba bado sijakata tamaa nahitaji mpenzi lakini awe ngozi nyeupe(Mzungu) tafadhali dada zangu kina miss chagga, miss natafuta, jjes na wengine wote naombeni maujuzi nifanyeje mdogo wenu.

Note: Sitampa tena mwanaume hela
Kupenda Mteremko Wa Maisha Sio Kitu Kizuri Kabisa .
...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom