Nahitaji mpenzi lakini awe ngozi nyeupe

Habari zenu wanajukwaa,

Kwanza nashukuru sana kwa kunitia moyo katika uzi wangu uliopita.

Pili, nikwamba bado sijakata tamaa nahitaji mpenzi lakini awe ngozi nyeupe(Mzungu) tafadhali dada zangu kina miss chagga, miss natafuta, jjes na wengine wote naombeni maujuzi nifanyeje mdogo wenu.

Note: Sitampa tena mwanaume hela
Nenda zanzibar kule mitaa ya nungwi wapo wengi sana , tena wapo wa nchi tofauti tofauti, ukimpata tunaomba utuletee mrejesho maana nasikia wanararua marinda balaa


Tamaa zilimponza fisi
 
naona mods wamefanya kaz yao tayar sasa uzi unaeleweka
Jesse John:"mwalim kashasha unaizungumziaje hii kitu "
Mwl.Kashasha:hii wanaiita straight to the point ,yaani pasipo kupepesa macho wala mdomo wala kalio (usiseme sjawahi tongozwa na weupe ,sema nahitaji mwanaume ila awe mweupe ),"kwako Jesse"
 
get a break V...hii pakua pakua kama kweli unahitaji uhusiano wa maana hutafanikiwa..
Unavyoumizwa ebu jipe muda wa kutosha kuponyesha vidonda sio ku jump kutoka kwenye frying pan na kuruka kwenye moto.
Al in all all th best...be careful next utasema unamtaka mchina,mhidi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom