Nataka kuingia nalo bungeni!
Mwenye nalo tuwasiliane haraka.
Spika makinda ajiandae kwa ugeni huu mkubwa na wa kihistoria,
nitafikia speakers changing room, sihitaji kutangazwa, nitajitangaza mwenyewe kwa kishindo.
Nasisitiza ni kwa matumizi ya kisiasa.
Wakuu namaanisha fiat 682 (mbaula) bila treler, nahitaji kibini pekeyake. Niitumie kisiasa, msihofu.
Mimi ninalo ni PM. Nitakugaiya bureeee.
Wakuu namaanisha fiat 682 (mbaula) bila treler, nahitaji kibini pekeyake. Niitumie kisiasa, msihofu.
Wajadi lile wigi atapelekewa na sergeant at arms,Beethoven, nimecheka sana. Sipatipicha jinsi yule bibi atakavyokimbia nyuki, na mzee wa usingizi atakavyotoka spidi ya faru
Kabla sija ku-pm niambie kwanza yule tomasi lyimo pale kimara ile karakana yake bado ina operate, tufanye hii kitu Tani 15 jamani si zinatosha kutusawazishia mambo, nahivi ni barabarani pale! Naweka tofali kwenye accelerator tuone sergeant at arms watakavyo. . . . .
kwanini kwenda na limbaula lote hilo,
wasiliana na watoto wa ...va wakupe
vitu vya uhakika bana.
Mkuu jogi, ile gereji ilipigwa BAN baada ya zile barozi 2 Tanzania na Kenya kulipuliwa na mabomu. Hata vile vibanda vya maziwa vya Tom daily navyo vilianza kupungua hapo town dar.
jamani me sijaelewa ni ktu gani hiyo mbaula ila maelezo yenu nimecheka bila kuelewa nacheka nini