Nahitaji mashine za kujikaushia bafuni

Mhh!! mashine ya kujikausha mwili??? sasa huku ni kujitafutia maradhi ya "saratani"Kila technology inavopamba moto basi ujue na magonjwa yanazidi.
 
Mie natumia taulo...Sasa nashangaa kusikia kuna mashine siku hizi...Mie najua kuna za mikono tu...kumbe hadi za mwili nazo zipo.
Meezy karibu kwangu nikujuze vitu vingi sana....
 
Last edited by a moderator:
Duh! Ndio ina ladha gani hiyo?

Kwanza ina rangi ya udhurungi radha yake ni malidhawa kama zaituni...

Hivi Wewe Meezy una undugu na Miss_Jambo maana lips zako na hips ndizo zilizonistua, nilikutizama kwa nyuma ulipokuwa unatoka....
 
Last edited by a moderator:
Kwanza ina rangi ya udhurungi radha yake ni malidhawa kama zaituni...

Hivi Wewe Meezy una undugu na Miss_Jambo maana lips zako na hips ndizo zilizonistua, nilikutizama kwa nyuma ulipokuwa unatoka....

nani aliyekwambia kuwa Meezy ni jina la mwanamke?
 
Sasa ukizipata si utahitaji na training namna ya kuzitumia maana unaonekana huzijui vizuri hahahaha

Traininig ni muhimu tena inahitajika intensive training manake ni moja ya requirement zake kwa ajili ya warranty
 
Sizijui jina kitaalam ila nliona moja ineandikwa BLOSSOM sjajua ni jina la kampuni zalishi ama ni jina la mashine, but zinatoa hewa moto,na ni nzuri kujikausha baada ya kuoga.Ni kama hand driers lakini zenyewe ni za bafuni.

...Hivi u-mvivu sana wa kujikausha na taulo hadi utake kupata Cancer ya Ngozi kwa kujikausha na umeme???teh teh teh...:-*
 
Back
Top Bottom