Atapata.
umefikisha wangapi mapaka sasa?habari zenu wanajf? Nahitaji marafiki wa jinsia zote ,mi ni mwanamke,wasiwe na lugha chafu.
Usijari kwani upo mkoa gan wewe,mimi nipo dar
habari zenu wanajf? Nahitaji marafiki wa jinsia zote ,mi ni mwanamke,wasiwe na lugha chafu.
Everything is measured by man, tupe wasifu wako.
Likes, dislikes, hobie, na vitu vya aina hiyo.
hapana ila tu natoa tahadhari maana ni kitu ambacho sipendi
kwani we huwezi kuwa rafiki yako!!!
kwanini tedo
Hapo kwenye Red post ya juu...." Kwani we huwezi kuwa rafiki yako"?
habari zenu wanajf? Nahitaji marafiki wa jinsia zote ,mi ni mwanamke,wasiwe na lugha chafu.