nahitaji marafiki

nahitaji marafiki

umefikisha wangapi mapaka sasa?

je, nikiongezeka mimi excel, utanipangiaje ratiba ya kuwa zaidi ya rafiki??

sipendi urafiki usiokuwa na migegedano ndani yake... unajua maana ya friends of benefit wewe???

haya, hurry up!! pm namba yako ya m-pesa fasta!!
yani nikisomaga post zako lazma nicheke
 
hata kwenye mgegedo wasiwe na lugha chafu...?

......kwakuwa siku hizi tunakwepa majukumu yasiyo lazima,moja ya lugha chafu ni .... Bby kesho naomba ukanifanyie shop'ng.
 
Rafiki hatafutwi na ukimpata wa kutafuta hamtadumu, hamtaisha kugombana na kusemana. Kuwa mpole chat chat utapata watu unaoshare nao interest mbalimbali na mwishowe mtakua marafiki
 
Back
Top Bottom