Nahitaji marafiki

Nahitaji marafiki

Hi

Leo nimetaman kuwa na marafiki wapya kabisa wenye mawazo chanya ambao tunaweza share vitu kwa na confidentiality
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Umeamua kuja tena ama kweli
 
Hivi mwanaume unaanzaje kuomba urafiki? Mimi nadhan the way unavyojichanganya na watu, ndio marafiki na washkaji watapatikana humo humo.

Kuna mwenzako mmoja, alishawahi kuja kuomba marafiki wapya wa kumsaidia kuondokana na upweke aliokuwa nao at the age of 19. Ila later on ikajulikana kuwa ni oya oya.
Hi

Leo nimetaman kuwa na marafiki wapya kabisa wenye mawazo chanya ambao tunaweza share vitu kwa na confidentiality
 
Hivi mwanaume unaanzaje kuomba urafiki? Mimi nadhan the way unavyojichanganya na watu, ndio marafiki na washkaji watapatikana humo humo.

Kuna mwenzako mmoja, alishawahi kuja kuomba marafiki wapya wa kumsaidia kuondokana na upweke aliokuwa nao at the age of 19. Ila later on ikajulikana kuwa ni oya oya.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Daaah hatari sana hawa madogo wa saizi sijui wakoje asee
 
Samahani wewe ni Me, au Ke? watu wanapenda kukuzungumzia vibaya ila unaonekana unafurahia. Kwa nini?
unakasirikaje maisha ya mitandaon mkuu tena JF tunapoish na Id zetu fakeπŸ˜‚
 
Back
Top Bottom