DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,291
- 29,485
Poa poa
Poa poa
Im hereHellow nahitaji marafiki wa kubadilishana mawazo ikiwezekana tujenge undugu kabisaa, jinsia yyt. Umri wwt ,naamini katika kukutana na watu vingi tunajifunza.
PS Wale wa kusema mtaani kwenu hawapo sijui ,naomba mniache kidg
Nipo hapa sarahHellow nahitaji marafiki wa kubadilishana mawazo ikiwezekana tujenge undugu kabisaa, jinsia yyt. Umri wwt ,naamini katika kukutana na watu vingi tunajifunza.
PS Wale wa kusema mtaani kwenu hawapo sijui ,naomba mniache kidg
AsanteKuwa tu humu ndani...tayari tu marafiki
Sara na Mimi nikumbuke hautajilaumu na itapendeza kama utakuwa unakunywa pombe ili tukitoka tusiishiwe haraka story AF nikakutongozaHellow nahitaji marafiki wa kubadilishana mawazo ikiwezekana tujenge undugu kabisaa, jinsia yyt. Umri wwt ,naamini katika kukutana na watu vingi tunajifunza.
PS Wale wa kusema mtaani kwenu hawapo sijui ,naomba mniache kidg
Umetisha mkuuSara na Mimi nikumbuke hautajilaumu na itapendeza kama utakuwa unakunywa pombe ili tukitoka tusiishiwe haraka story AF nikakutongoza
Ndo mawazo yk yalipoishia?Endeleeni kujipeleka,mkitekwa mje kutuambia.
Unauhakika gan kama marafiki wanakuhitaji??? Una nini chakutoa katia huo urafi?
Basi vizuriSina cha kutoa zaidi ya mawzo na ideas na amini ndo kitu kikubwa ,wapo niloona wananihitaji ,wasonihitaji nimeachana nao
Another question please mkuu
Asante kwa ushauri mkuuBasi vizuri
Katika urafiki inabidi kila mtu awe muwazi kwa mwenzake, wanawake mnatabia ya kuwa na shida lakini hamsemi, ninapokua rafiki yako unanihakikishia utakua muwazi na mkweli katika mazingira ya yoyote yale, tofauti na hapo tutarudi kwenye bongo movie kuigiziana tu