Nahitaji marafiki

Dah! Yani wewe huna gharama... Wewe ndio unafaa kutolewa outing!
Niliwahi kuwatoa wadada flani outing, wacha waanze kuagiza mavinywaji ya gharama! Zile chupa za elfu hamsini, mwingine ya laki! Nikaenda chooni bwana. Si wakajua nakimbia bili. Kurudi nakuta wameyarudisha na wameagiza Soda. Nikasema hapa sasa tutakwenda sawa!

Hahahaha wee kiboko
 
Hellow nahitaji marafiki wa kubadilishana mawazo ikiwezekana tujenge undugu kabisaa, jinsia yyt. Umri wwt ,naamini katika kukutana na watu vingi tunajifunza.

PS Wale wa kusema mtaani kwenu hawapo sijui ,naomba mniache kidg
Pm iko wazi ?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom