Sun is Sun
JF-Expert Member
- Mar 13, 2024
- 1,153
- 1,699
Habari za wakati huu Ndugu zangu Wana-jamiiforums. Nina maswali kadhaa kuhusu kirusi kinachosababisha HIV.
1. Kwanini ni vigumu kirusi kinachosababisha HIV kufa hata kikiwa nje ya mfumo wa mwili wa binadamu? Mfano( Mtu mwenye maambukizi anashona viatu ila bahati mbaya sindano inamchoma, Anachukua sindano anaihifadhi sehemu, Baada ya mda kama miezi minne mtu asiyekuwa na maambukizi Anachukua ile sindano ila na yeye kwa bahati mbaya inamdunga, Baada ya muda anaanza kuonesha dalili na baada ya vipimo anaonesha yupo +tive. Hii ina maana kwamba kwa mda wa miezi minne virusi vilikuwa vina-survive kwenye sindano bila kula chochote.
2. Kwanini kuna baadhi ya watu wachache ambao kirusi cha HIV hakiwezi kuwaletea madhara.
Kuna watu hata ukiwaongezea damu yenye kirusi bado hawatapata HIV na hata vipimo haviwezi kuonesha kama wana maambukizi, Ingawa wana uwezo wa kuambukiza wengine. Kwanini hii hutokea?
3. Kwanini kirusi cha HIV kinaleta madhara kwa Wanadamu tu?
Kirusi cha HIV hakileti madhara kwa nyani, kuku, mbwa, nyoka, punda, ng'ombe, simba n.k, Kwanini wataalam?
4.Kwanini mwenye virusi vya HIV akiacha kutumia dawa virusi vinakuwa sugu?
5. Mwisho. Kirusi cha HIV kiligunduliwa na nani? Na species yake ilitolewa wapi Kwa manufaa gani?.
Wataalam karibuni tujadili hili.
Asanteni.