AFRICAN BOYI
Senior Member
- Dec 9, 2019
- 117
- 320
- Thread starter
- #21
Shukrani kaka, niko nachukua notes baada ya hapo ni maamuzi tu. Kule ata sina pa kufikia napenda nikifika tu nizipate hizo mishe.
Uhakika kazi zipo nyingi Sana uchumi Wa blue.