Nahitaji kuwa na familia

Nahitaji kuwa na familia

Mzabzab kuna wakati nakuwa namhitaji inakuwa ni ngumu kumpata ndio maana nahitaji niwe na wangu nizae watoto niitwe mama na mimi sasa tutaishi hiv kihuni hadi lini

Kwan mummy mwanzo hukulijua hilo, ona sasa majuto mjukuu
 
Mi siwapend watu wenye life style kama ya mtoa mada maana ni kutesana roho tu! hebu mwache mume wa watu akatunze familia yake
 
Pengine anafikiria gharama zake, Kwani hiyo biashara mpaka sasa hujapata faida ya kuwa na mtaji wako mwenyewe ukamrudishia na kusimama pekee??? Hayo ndo matatizo ya kutembea na waume za watu. Achana nae na usrudie tena tabia hiyo tafuta maisha yako hata akinywa sumu hatakuwa wa kwanza kufa, na pengine atakuwa amekupunguzia matatizo.
 
Niko na mpenzi (Mume wa mtu) kwa muda wa miaka minne sasa, alinitafutia kazi nikafanya kwa muda wa mwaka mmoja nikamwambia kazi za kuajiriwa siziwezi nahitaji kufanya biashara, akanifungulia ofisi (Stationery & Internet Cafe) nipo maeneo ya posta ndipo ilipo ofisi yangu.

Kwa sasa nimepata mchumba nahitaji kuwa na familia, nilipomwambia kuhusu suala hilo la mimi kuwa na mchumba amekataa hataki niolewe, nimejaribu kumtumia rafiki yake lkn wapi, nimejaribu kumtumia pia dada yake mkubwa lkn haijafua dafu, na kwa kauli yake yeye amenambia akisikia/kuona nimeolewa atakunywa sumu.

Wapendwa sasa nifanyeje amenisaidia sana sipendi niachane nae kwa ugomvi kwani hakuwahi kutetendea ubaya, muda wwte na wakati ninapokuwa na tatizo huwa ananijali.WAPENDWA NISAIDIENI NIFANYE NINI KWANI NIPO NJIA PANDA NAHITITAJI KUWA NA FAMILIA.

pole sana kwa kuwa njia panda lakini lazima ujiulize maswali yafuatayo;
1.utaendelea kuzini mpaka lini?
2.utaendelea kuwa bila mume mpaka lini(mwenzio ana mke tayari)
3.utakuwa shetani wa ndoa ya watu mpaka lini?
4.tambua kuwa kabla ya kukutana nae alimpenda sana mtu mwingine na kuamini kuwa ndiye atakayekuwa nae maisha yake yote.(wewe umeingilia kuvuruga mipango hiyo)
5.ungekuwa wewe ndo mke halali wa ndoa afu mwanamke mwingine anakufanyia ushenzi unaomfanyia mwenzako ungefeel vipi
6.ok,baada ya kumsikiliza na kuamua kutokuolewa,kesho na keshokutwa mwenzako akitubu na kuirudia familia yake wewe utakuwa katika hali gani?(kwanza ushazeeka hakuna atakayekutaka)
7.kwanini uonekane malaya siku zote za maisha yako?

NB😛UNGUZA TAMAA,MISAADA YAKE KWAKO ISIWE SABABU YA KUKUKOSESHA PEPO.KAMA ALISHAOA BASI UJUE HUYO SIYO MR RIGHT KWAKO HATA KAMA ANAKUPENDA VIPI AU HATA KAMA ATAKUHUDUMIA VIPI.WEWE NI KAMA KIPOZEO CHA MATATIZO YAKE NDANI YA NDOA.NI BORA UWE NA MJI WAKO
 
Mwambie huyo mchumba wko una buzi lililokupendezesha na umetokanalo mbali, huwezi thubutu kuliacha.
 
ww acha ujinga!
Amekusaidia kivipi? Ucngempa k angekupa hivyo vitu? Hapo mlikuwa mnasaidiana,km alikuwa annakusaidia asingekufunua!
...ss basi, haina haja ya kupigizana nae kelele,wee endelea na maisha yako,atazoea 2!
Km unaona atakusumbua hamisha bness!
yy ana familia yake tayari wala ucpoteze muda kumfikiria...period!!

...kuna watu wanaumia juu ya ndoa zao, bt nawahakikishia msipomgeukia Mungu hamuwezi kunusuru hizo ndoa zenu(waume zenu)
Km mama una wajibu wa KUIOMBEA familia yako,sio KULALAMIKA,unless waume zenu wataendelea kutoka nje ya ndoa!
Ndo maana bibble imesema 'mwanamke mjinga hubomoa nyumba kwa mikono yake mwenyewe' ...omba Mungu atamlinda mumeo na familia yako
 
Olewa hanywi sumu ng'oo. Kama anakupenda aachane na mkewe akupe heshima kama wewe ni wife na sio kimada.

Zaidi atakalofanya ni kukuharibia ndoa yako muweke sawa mchumba wako. Lakini sumu hainywi katu.

Safi sana madame x...ww mtoa mada huu ushauri unakufaa km una akili
 
Swali dogo kwako mpendwa, tukiashumu amekuruhusu kuolewa na mkaachana kwa amani kama unavyotaka wewe, ukafunga ndoa na huyo mchumba mpya na mkawa na watoto na familia yako nzuri kabisa alafu funga macho uone huyo mchumba wako awe na mwanamke wa nje amemfungulia stationary na anamjali sana kila akiwa na matatizo anamsaidia na wanafanya tendo la ndoa kila wanapojisikia how do you feel?


Umenifanya nibasamu japo si jambo la kutabasam
 
ww acha ujinga!
Amekusaidia kivipi? Ucngempa k angekupa hivyo vitu? Hapo mlikuwa mnasaidiana,km alikuwa annakusaidia asingekufunua!
...ss basi, haina haja ya kupigizana nae kelele,wee endelea na maisha yako,atazoea 2!
Km unaona atakusumbua hamisha bness!
yy ana familia yake tayari wala ucpoteze muda kumfikiria...period!!

...kuna watu wanaumia juu ya ndoa zao, bt nawahakikishia msipomgeukia Mungu hamuwezi kunusuru hizo ndoa zenu(waume zenu)
Km mama una wajibu wa KUIOMBEA familia yako,sio KULALAMIKA,unless waume zenu wataendelea kutoka nje ya ndoa!
Ndo maana bibble imesema 'mwanamke mjinga hubomoa nyumba kwa mikono yake mwenyewe' ...omba Mungu atamlinda mumeo na familia yako

Ameen nimekupa mkuu
 
Pengine anafikiria gharama zake, Kwani hiyo biashara mpaka sasa hujapata faida ya kuwa na mtaji wako mwenyewe ukamrudishia na kusimama pekee??? Hayo ndo matatizo ya kutembea na waume za watu. Achana nae na usrudie tena tabia hiyo tafuta maisha yako hata akinywa sumu hatakuwa wa kwanza kufa, na pengine atakuwa amekupunguzia matatizo.


kuhusu biashara yeye tangu nifungue hajawahi kuniingilia hata TRA nimesajili kwa jina langu, madai yake ni kwamba hataki kuona nikiwa na mwanaume mwingine
 
pole sana kwa kuwa njia panda lakini lazima ujiulize maswali yafuatayo;
1.utaendelea kuzini mpaka lini?
2.utaendelea kuwa bila mume mpaka lini(mwenzio ana mke tayari)
3.utakuwa shetani wa ndoa ya watu mpaka lini?
4.tambua kuwa kabla ya kukutana nae alimpenda sana mtu mwingine na kuamini kuwa ndiye atakayekuwa nae maisha yake yote.(wewe umeingilia kuvuruga mipango hiyo)
5.ungekuwa wewe ndo mke halali wa ndoa afu mwanamke mwingine anakufanyia ushenzi unaomfanyia mwenzako ungefeel vipi
6.ok,baada ya kumsikiliza na kuamua kutokuolewa,kesho na keshokutwa mwenzako akitubu na kuirudia familia yake wewe utakuwa katika hali gani?(kwanza ushazeeka hakuna atakayekutaka)
7.kwanini uonekane malaya siku zote za maisha yako?

Nb😛unguza tamaa,misaada yake kwako isiwe sababu ya kukukosesha pepo.kama alishaoa basi ujue huyo siyo mr right kwako hata kama anakupenda vipi au hata kama atakuhudumia vipi.wewe ni kama kipozeo cha matatizo yake ndani ya ndoa.ni bora uwe na mji wako


nimekuelewa
 
Haloooooooo wakumbuka shuka asubuhi shoga???? Ulivokua watembea na mme wa mtu miaka inakatika tu unaona raha sasa wajitia wataka mme wako afta kuvuruga ndoa ya watu.i hate u women mnaoiba wake za watu.wote mkachomwe moto jehanam.
 
hilo ndo la maana waume za watu wote vinganganizi kama mpo humu someni kimya kimya hapa habari ya hapa olewa tu mamiii tena mwambie ukumbi wa sendoff alipie yeye

Hapo ndo nashindwa kuelewa, yeye alioa na akawa na familia ila mwenzie awe kimada fovera?!! Nahisi jamaa ataleta varangati amuharibie huyo dada mipango yake ya kuolewa.. Mijitu mingine bwana mibinafsii mxiiiiiuuuu.
 
kuhusu biashara yeye tangu nifungue hajawahi kuniingilia hata TRA nimesajili kwa jina langu, madai yake ni kwamba hataki kuona nikiwa na mwanaume mwingine

Hana lolote....msaada au mchango alokupa haukuwa bure, maana ulimpa papuchi. Na wewe una right ya kumpa unayetaka mbona yeye anaichomeka huko kwa wife wake bila matatizo.

Yaani uzi kama huu unanipa hasira aisee..........................
 
mimi sijaelew unaposema unataka kuwa na familia unamaanisha nini?
kama unamaanisha kuwa na watoto, inamaana tangu mmeanza kuzini hamjawahi kufanya unsafe day?
au wewe ni mgumba?
au yeye mbegu hazina nguvu?
na huyo ingizo jipya umeshafanya naye mapenzi?
na je huyo ingizo jipya umemuuleza kuwa una mtu ambaye amekuweka mjini?

sijaelewa vizuri nifafanulie!
 
Swali dogo kwako mpendwa, tukiashumu amekuruhusu kuolewa na mkaachana kwa amani kama unavyotaka wewe, ukafunga ndoa na huyo mchumba mpya na mkawa na watoto na familia yako nzuri kabisa alafu funga macho uone huyo mchumba wako awe na mwanamke wa nje amemfungulia stationary na anamjali sana kila akiwa na matatizo anamsaidia na wanafanya tendo la ndoa kila wanapojisikia how do you feel?

Hivi kuna mwanaume wa mtu ambaye haliwi siku hizi??
 
Niko na mpenzi (Mume wa mtu) kwa muda wa miaka minne sasa, alinitafutia kazi nikafanya kwa muda wa mwaka mmoja nikamwambia kazi za kuajiriwa siziwezi nahitaji kufanya biashara, akanifungulia ofisi (Stationery & Internet Cafe) nipo maeneo ya posta ndipo ilipo ofisi yangu.

Kwa sasa nimepata mchumba nahitaji kuwa na familia, nilipomwambia kuhusu suala hilo la mimi kuwa na mchumba amekataa hataki niolewe, nimejaribu kumtumia rafiki yake lkn wapi, nimejaribu kumtumia pia dada yake mkubwa lkn haijafua dafu, na kwa kauli yake yeye amenambia akisikia/kuona nimeolewa atakunywa sumu.

Wapendwa sasa nifanyeje amenisaidia sana sipendi niachane nae kwa ugomvi kwani hakuwahi kutetendea ubaya, muda wwte na wakati ninapokuwa na tatizo huwa ananijali.WAPENDWA NISAIDIENI NIFANYE NINI KWANI NIPO NJIA PANDA NAHITITAJI KUWA NA FAMILIA.

Omba toba, mrudishie mavitu yake, olewa. full stop
 
Back
Top Bottom