Kambaku
JF-Expert Member
- Nov 12, 2011
- 9,009
- 33,552
Hivi kuna mwanaume wa mtu ambaye haliwi siku hizi??
Ha ha ha, wewe una lako jambo si bure wewe haki! Nitakujibu PM
Hivi kuna mwanaume wa mtu ambaye haliwi siku hizi??
Sasa sisi tutakushauri nini?
anaetakiwa kushauriwa ni huyo mwanaume
sio wewe
Danzi upo? yaani nmekumiss sana wangu
mimi sijaelew unaposema unataka kuwa na familia unamaanisha nini?
kama unamaanisha kuwa na watoto, inamaana tangu mmeanza kuzini hamjawahi kufanya unsafe day?
au wewe ni mgumba?
au yeye mbegu hazina nguvu?
na huyo ingizo jipya umeshafanya naye mapenzi?
na je huyo ingizo jipya umemuuleza kuwa una mtu ambaye amekuweka mjini?
sijaelewa vizuri nifafanulie!
Haloooooooo wakumbuka shuka asubuhi shoga???? Ulivokua watembea na mme wa mtu miaka inakatika tu unaona raha sasa wajitia wataka mme wako afta kuvuruga ndoa ya watu.i hate u women mnaoiba wake za watu.wote mkachomwe moto jehanam.
umejaribu kumwambia ---- utamrudishia hiyo biashara yake ili uendelee na huyo mchumba mpya? Au ndo unataka kote kote
Niko na mpenzi (Mume wa mtu) kwa muda wa miaka minne sasa, alinitafutia kazi nikafanya kwa muda wa mwaka mmoja nikamwambia kazi za kuajiriwa siziwezi nahitaji kufanya biashara, akanifungulia ofisi (Stationery & Internet Cafe) nipo maeneo ya posta ndipo ilipo ofisi yangu.
Kwa sasa nimepata mchumba nahitaji kuwa na familia, nilipomwambia kuhusu suala hilo la mimi kuwa na mchumba amekataa hataki niolewe, nimejaribu kumtumia rafiki yake lkn wapi, nimejaribu kumtumia pia dada yake mkubwa lkn haijafua dafu, na kwa kauli yake yeye amenambia akisikia/kuona nimeolewa atakunywa sumu.
Wapendwa sasa nifanyeje amenisaidia sana sipendi niachane nae kwa ugomvi kwani hakuwahi kutetendea ubaya, muda wwte na wakati ninapokuwa na tatizo huwa ananijali.WAPENDWA NISAIDIENI NIFANYE NINI KWANI NIPO NJIA PANDA NAHITITAJI KUWA NA FAMILIA.
Akuoe uwe mke mdogo
Ni Mkristo yy hivyo hawezi funga ndoa ya pili
habari ya hapa huwa sitoi ushauri kwenye contradictions kama hizi za kimapenzi
Makoyo
kwanini nahitaji busara zako dafadhali
sikiliza ndugu yangu unajua kwenye maisha kila mtu huwa anakosea na hilo halikwepeki, na wewe umeshakosea sana tu na huwezi kupinga hilo..... Sasa cha kufanya kama unamwamini mungu anza kufanya maombi ya kutosha umwombe mungu akuonyeshe njia iliyo sahihi....ushauri wetu sisi binadamu una udhaifu kwa sababu unatokana na mapungufu yetu
Hana lolote....msaada au mchango alokupa haukuwa bure, maana ulimpa papuchi. Na wewe una right ya kumpa unayetaka mbona yeye anaichomeka huko kwa wife wake bila matatizo.
Yaani uzi kama huu unanipa hasira aisee..........................
Niko na mpenzi (Mume wa mtu) kwa muda wa miaka minne sasa, alinitafutia kazi nikafanya kwa muda wa mwaka mmoja nikamwambia kazi za kuajiriwa siziwezi nahitaji kufanya biashara, akanifungulia ofisi (Stationery & Internet Cafe) nipo maeneo ya posta ndipo ilipo ofisi yangu.
Kwa sasa nimepata mchumba nahitaji kuwa na familia, nilipomwambia kuhusu suala hilo la mimi kuwa na mchumba amekataa hataki niolewe, nimejaribu kumtumia rafiki yake lkn wapi, nimejaribu kumtumia pia dada yake mkubwa lkn haijafua dafu, na kwa kauli yake yeye amenambia akisikia/kuona nimeolewa atakunywa sumu.
Wapendwa sasa nifanyeje amenisaidia sana sipendi niachane nae kwa ugomvi kwani hakuwahi kutetendea ubaya, muda wwte na wakati ninapokuwa na tatizo huwa ananijali.WAPENDWA NISAIDIENI NIFANYE NINI KWANI NIPO NJIA PANDA NAHITITAJI KUWA NA FAMILIA.
Akuoe uwe mke mdogo
Ni Mkristo yy hivyo hawezi funga ndoa ya pili
Tatizo wanaume na nyie mnadhani nyumba ndogo zinawapeeeenda kumbe wako kimalengo tu mfyuuuuuu [/QU
Mhhhh! eeeeeee inawezekana kuna ka ukweeeehe