habari ya hapa
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 12,788
- 8,755
Niko na mpenzi (Mume wa mtu) kwa muda wa miaka minne sasa, alinitafutia kazi nikafanya kwa muda wa mwaka mmoja nikamwambia kazi za kuajiriwa siziwezi nahitaji kufanya biashara, akanifungulia ofisi (Stationery & Internet Cafe) nipo maeneo ya posta ndipo ilipo ofisi yangu.
Kwa sasa nimepata mchumba nahitaji kuwa na familia, nilipomwambia kuhusu suala hilo la mimi kuwa na mchumba amekataa hataki niolewe, nimejaribu kumtumia rafiki yake lkn wapi, nimejaribu kumtumia pia dada yake mkubwa lkn haijafua dafu, na kwa kauli yake yeye amenambia akisikia/kuona nimeolewa atakunywa sumu.
Wapendwa sasa nifanyeje amenisaidia sana sipendi niachane nae kwa ugomvi kwani hakuwahi kutetendea ubaya, muda wwte na wakati ninapokuwa na tatizo huwa ananijali.WAPENDWA NISAIDIENI NIFANYE NINI KWANI NIPO NJIA PANDA NAHITITAJI KUWA NA FAMILIA.