Caroline Danzi
JF-Expert Member
- Dec 19, 2008
- 3,714
- 1,269
mla vyawenzake HULIWA
Kifulambute huyoooo!!
mla vyawenzake HULIWA
mla vyawenzake HULIWA
Nini kimekufanya umuone hakufai sasa na unataka kuolewa na mwingine??? Kakusafishia nyota unaonekana sasa unaleta nyodo eeee unastahili kunyongwa wewe, tena usiku wa mananeeeee shetani akupokee.
Mwanzo unaanza nae hukuona hayo? mwache ila ujiandae kuibiwa kama ulivyooiba kwa miaka hiyo minne.
Yaani wewe unataka kuwa kimada wa mtu maisha yako yote? Unataka ruhusa ya nini sasa? Olewa bana, akinywa sumu kivyake, hata akitaka stationary yake mwachie japo unaweza mkatalia kwamba sio yake. Kwanini akubane hivyo? Sio mstaarabu huyo. Kwa taarifa yako utaacha kuolewa na yeye atakuja kukutema tu!!! Anyway, mimi wangu nilimgundua mwenyewe kwamba anataka sana kuolewa ila anashindwa kuniambia kwa sababu nishampiga tafu sana kimaisha. Akawa anaona kwamba nitamind na naweza mdai kila kitu nilichomnunulia halafu abaki empty. Nilichofanya, nimempa nafasi nikajifanya nimesafiri na sirudi siku za karibuni. Kwani miezi miwili imeisha sasa? Nasikia ana mchumba na wanataka kuanza harakati za kufunga ndoa. Acha aolewe mtoto wa watu, ila nitaendelea kula maramoja moja baadae.
JF kweli ina raha yake,eti anastahili kunywongwa
Mbavu zangu wallahi
Fikiria tu ungekuwa ni wewe, unamtunza mtu kwa kila hali, umemtafutia kazi kafanya mwaka akadengua akadai biashara, ukamfungulia mambo yamekuwa supa eti anakutangazia amepata mchumba looooh! huyu ni msaliti kabsaaaaaaa walah maana kama issue ya kuwa na mke aliijua sana na alijivunia kumchukuwa mume wa mtu anayemhudumia!!
when you scratch my back i scratch yours!
kantian?
Ulivyokuwa nae hukujua kama ni mume wa mtu? Hukujua kama ni kuishi kihuni?Mzabzab kuna wakati nakuwa namhitaji inakuwa ni ngumu kumpata ndio maana nahitaji niwe na wangu nizae watoto niitwe mama na mimi sasa tutaishi hiv kihuni hadi lini
Nini kimekufanya umuone hakufai sasa na unataka kuolewa na mwingine??? Kakusafishia nyota unaonekana sasa unaleta nyodo eeee unastahili kunyongwa wewe, tena usiku wa mananeeeee shetani akupokee.
Wewe mwambie akuoe muwe wawili hakuna cha ukristo wala nini. kama hataki basi akuachie uolewe. hajinyongi wala nini huyo, kwanza akijinyonga si ndio utapata chance ya kuolewa vizuri...!!Niko na mpenzi (Mume wa mtu) kwa muda wa miaka minne sasa, alinitafutia kazi nikafanya kwa muda wa mwaka mmoja nikamwambia kazi za kuajiriwa siziwezi nahitaji kufanya biashara, akanifungulia ofisi (Stationery & Internet Cafe) nipo maeneo ya posta ndipo ilipo ofisi yangu.
Kwa sasa nimepata mchumba nahitaji kuwa na familia, nilipomwambia kuhusu suala hilo la mimi kuwa na mchumba amekataa hataki niolewe, nimejaribu kumtumia rafiki yake lkn wapi, nimejaribu kumtumia pia dada yake mkubwa lkn haijafua dafu, na kwa kauli yake yeye amenambia akisikia/kuona nimeolewa atakunywa sumu.
Wapendwa sasa nifanyeje amenisaidia sana sipendi niachane nae kwa ugomvi kwani hakuwahi kutetendea ubaya, muda wwte na wakati ninapokuwa na tatizo huwa ananijali.WAPENDWA NISAIDIENI NIFANYE NINI KWANI NIPO NJIA PANDA NAHITITAJI KUWA NA FAMILIA.
Niko na mpenzi (Mume wa mtu) kwa muda wa miaka minne sasa, alinitafutia kazi nikafanya kwa muda wa mwaka mmoja nikamwambia kazi za kuajiriwa siziwezi nahitaji kufanya biashara, akanifungulia ofisi (Stationery & Internet Cafe) nipo maeneo ya posta ndipo ilipo ofisi yangu.