Nahitaji kuwa na elimu ya kiwango gani kuwa Polisi

Acha kudanganya umma, hao std 7 wanajiunga na jwtz tu tena wawe na ujuzi maalumu, polisi huajiri wenye elimu kuanzia kidato cha 4 hadi digrii ya uzamivu.

Kuhusu division wanachukua hata mwenye 'division' 1 kinachopaswa ni wewe kuwa interested na kazi ya polisi.

5/5
ooh! Sawa mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha kudanganya umma, hao std 7 wanajiunga na jwtz tu tena wawe na ujuzi maalumu, polisi huajiri wenye elimu kuanzia kidato cha 4 hadi digrii ya uzamivu.

Kuhusu division wanachukua hata mwenye 'division' 1 kinachopaswa ni wewe kuwa interested na kazi ya polisi.

5/5
We fala kabla ya kupost soma vizuri...
Mtu akisema not less than IV ya 28 unaelewa nn??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Askari wa ngazi ya chini kabisa anatakiwa awe na minimum qualifications zipi za kitaaluma? Kwa mfano mimi nina masters, nikiajiriwa upolisi naanza ngazi ya chini kabisa?

Sent using Jamii Forums mobile app
Utaanza kama Constable ila navyosikia wanatoa mishahara kwa kigezo cha elimu, hivyo Waweza kuwa Constable ila ukawa unalipwa mshahara wa afisa wa juu polisi.

5/5
 
We fala kabla ya kupost soma vizuri...
Mtu akisema not less than IV ya 28 unaelewa nn??

Sent using Jamii Forums mobile app
"Kama JKT hata darasa la saba.. kwa form iv wanahitaji not less than iv ya 28
Adavance usiwe na zero tu..
Diploma pia ufaulu wowote...
Chuo kikuu ufaulu wowote pia...

KUBWA KUBWA ZAIDI UWE KIDOGO NA AKILI ZA KUUNGAUNGA"...

Sent using Jamii Forums mobile app


emoji115]wewe kum*** soma ulicho andika, tangu lini polisi waliajiri std 7 toka jkt!!

Jf ni sehemu ya kuelimishana acha kujaa 'nyembe'

5/5
 
Ndugu,

Wasalaam...

Naomba kujuzwa, je, ninapaswa kuwa na ufaulu kiasi gani ili niwe polisi?

Wanahitaji mtu mwenye division ngapi? au mwenye elimu kiwango gani?



Sent using Jamii Forums mobile app
1. Uwe mzalendo unayesukumwa na hiari ya kuitetea na kufa kwa ajali ya kuokoa wananch ama mali zao

2. Usisukumwe na mshahara, uniform, paredi, bendi, vivaa, magari ya kazi bali usukumwe na uzalendo kuiomba kazi hiyo

3. Usitamani wala kufikiria rusha na ndhambi nyingine zinazoambatana na nafasi , nguvu na mamlaka utakayopewa

4. Uwe una heshima ya kukubali amri

5. Usiwe umeoa /kuolewa

6. Usiwe uanajihusisha na utumiaji wa madawa ya kulevya

7. Usiwe umechora michoro mwilini mwako

8. Uwe jasiri na shujaa wa kupambana na wahalifu hata wale wenye silaya ili kuwaokoa wananchi

9.Usiwe na umri uliopitiliza miaka 25 wakati unaomba ajira

10. Uwe mtanzania kwa kuzaliwa

12. Uwe na elimu angala ya chini ya kidato cha nne isiyopungua daraja la iii

13. Kwa wenye taaluma kama mafundi, manesi madaktari na wanasheria wanapewa kipaumbele sambaba na sifa nyingine
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom