Nahitaji kuwa na elimu ya kiwango gani kuwa Polisi

Form 4 failure tu mkuu na pia unatakiwa kuwa mvivu wa kufikiri na kuchanganua mambo.

MHUBIRI 4:13 SUV

"Heri kijana maskini mwenye hekima Kuliko mfalme mzee mpumbavu. ambaye hajui tena kupokea maonyo."
mhhhhhhhh
 
Askari wa ngazi ya chini kabisa anatakiwa awe na minimum qualifications zipi za kitaaluma? Kwa mfano mimi nina masters, nikiajiriwa upolisi naanza ngazi ya chini kabisa?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiingia Polisi na Elimu yoyote lazima uanzie ngazi ya chini kabisa. Mpaka sasa kuna askari wa chini wana Masters na wengine wanatafuta Doctorate. Mfano yule askari polisi wa Kigoma aliyeteuliwa kuwa DAS Ruangwa ana Masters lakini hakuwa na cheo chochote.
 
Form 4 failure tu mkuu na pia unatakiwa kuwa mvivu wa kufikiri na kuchanganua mambo.

MHUBIRI 4:13 SUV

"Heri kijana maskini mwenye hekima Kuliko mfalme mzee mpumbavu. ambaye hajui tena kupokea maonyo."
Imebidi nitafute hii comment ilipo ili nilike na kuscreenshot, posts kama hizi huwa zinaondoa msongo wa mawazo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom