Nahitaji kuwa na elimu ya kiwango gani kuwa Polisi

GODZILLA

JF-Expert Member
Dec 26, 2014
5,070
2,000
Ndugu,

Wasalaam...

Naomba kujuzwa, je, ninapaswa kuwa na vigezo gani vya kitaaluma ili niwe polisi?

Wanahitaji mtu mwenye degree ngapi? au mwenye elimu kiwango gani?
 

ANOTINO

JF-Expert Member
Apr 2, 2017
1,800
2,000
Kama JKT hata darasa la saba.. kwa form iv wanahitaji not less than iv ya 28
Adavance usiwe na zero tu..
Diploma pia ufaulu wowote...
Chuo kikuu ufaulu wowote pia...

KUBWA KUBWA ZAIDI UWE KIDOGO NA AKILI ZA KUUNGAUNGA...

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Kilwa94

JF-Expert Member
Aug 21, 2016
1,925
2,000
Acha kudanganya umma, hao std 7 wanajiunga na jwtz tu tena wawe na ujuzi maalumu, polisi huajiri wenye elimu kuanzia kidato cha 4 hadi digrii ya uzamivu.

Kuhusu division wanachukua hata mwenye 'division' 1 kinachopaswa ni wewe kuwa interested na kazi ya polisi.
Kama JKT hata darasa la saba.. kwa form iv wanahitaji not less than iv ya 28
Adavance usiwe na zero tu..
Diploma pia ufaulu wowote...
Chuo kikuu ufaulu wowote pia...

KUBWA KUBWA ZAIDI UWE KIDOGO NA AKILI ZA KUUNGAUNGA...

Sent using Jamii Forums mobile app
5/5
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom