Mwenye bodaboda chukua tahadhari unaenda kutapeliwa pundeMkuu nipe niiendeshe Hadi karatu kwa gharama ya Elfu 60 ila mafuta utaweka wewe full tenki
Tafuta demu mkali akae nyuma ya bodaboda endesha chombo siku ya pili jioni unaingia Karatu na bodaboda yako huku umebeba kipozeo,safari hutachoka maana ni safari na muziki.
Tembeza chombo mpk karatu
Mkuu nipe niiendeshe Hadi karatu kwa gharama ya Elfu 60 ila mafuta utaweka wewe full tenki
Korona imeathiri akili za watu.Weka kwenye road machine hiyo inafika bila shida
Korona imeathiri akili za watu.
Acha uwoga chapa rapa mpk karatu.Korona imeathiri akili za watu.
Pakia fuso jangwani ila uwe na subira sababu huwa Hadi yajaze mizigo ndio yaondokeAcha uwoga chapa rapa mpk karatu.
Rahisi Sana inaingia kwenye but I ya basi na Bei ni ya kawaida 50kJe, usafiri gan utakuwa mzuri zaidi na wa bei nafuu kusafirisha pikipiki kutokea Dar kwenda Karatu?
Usipakie gari la mizigo Yana usumbufu na kuchelewa kufikaJe, usafiri gan utakuwa mzuri zaidi na wa bei nafuu kusafirisha pikipiki kutokea Dar kwenda Karatu?