Nahitaji kusafirisha pikipiki yangu kutoka Dar kwenda Karatu

Je, usafiri gan utakuwa mzuri zaidi na wa bei nafuu kusafirisha pikipiki kutokea Dar kwenda Karatu?
mu ole na majukumu kuna njia naweza kukushauri nenda pale jangwani kuna malori then ongea nao wanaweza kukusaidia ila andaa kabisa document zote za pikipiki na ikiwezekana ingia mkataba na hao jamaa.Au njia nyingine ambayo ni safe Zaidi fungua hiyo pikipiki ibaki kwenye box kama yale yanayoletewa kutoka china then nenda ofisi za posta watakusaidia kusafirisha as parcel to Karatu
 
Mkuu nenda jangwani pale utapata mafuso yanaenda huko wataifikisha kwa mabasi nazani niliwai kuiona dar express mitaa ya karatu kule wana ruti ya huko

Kwa njia ya haraka ni kutumia hiyo Dar express ya Karatu au basi zingine za Dar - Karatu na akitaka Fuso basi awaone madalali pale Jangwani
 
Ushauri wangu kwanza usiwe na haraka ya chombo chako kufika Karatu.
Tumia usafiri wa fuso pale Jangwani.

Hata kwa kufipisha safari kisha ww mwenyewe umalizie ngwe iliyobaki.

Hata huo usafiri wa bus kama unakubalika nao nauona kuwa unafaa na wa haraka zaidi.
 
unatembea tu..
jana nmefka mbeya nikitokea kyaka-kagera via dom iringa zaid ya km 1700.
cha msingi tafuta koti zako kama 3 nzuri,vaa gloves,tafuta helmet ya kioo..
tembea na constant speed utakayochagua wewe.
tembea muda ambao unakuwa umeyaacha au upo nyuma ya mabasi ya dar.Madereva wa mabasi baadhi wana fujo. Malori usiyaogope madereva wako poa.
uwe na maji ya kunywa plus energy drink.ukijihisi uchov cmamisha chombo nyoosha miguu.
utafika tu usiogope wala wasikuogopesha.
hakikisha chombo umeifanyia service nzur
Umetisha Chief
 
Mkuu tumia Cargo hii inafika mpaka huko kwenu
IMG_20200529_181152_1.jpg
 
Je, usafiri gan utakuwa mzuri zaidi na wa bei nafuu kusafirisha pikipiki kutokea Dar kwenda Karatu?
Ivunje weka engine kwenye boksi taili kando na frame kando pakia kwenye basi ukiivunja inakuwa salama zaidi maana utafika kwa gharama ndogo sana
 
Je, usafiri gan utakuwa mzuri zaidi na wa bei nafuu kusafirisha pikipiki kutokea Dar kwenda Karatu?
Kuna jamaa wanaitwa Daruni, walishawahi kunisafirishia tiles tani 2.5 hadi Arusha!! Ukihitaji namba nichek ila wapo Ilala Bungoni!!
 
Ukipakia kwenye gari za mizgo itafka karutu si chini ya wiki hiyo...labda ubahatike upate gari linalotoka siku hiyohiyo hata hivyo utapokea baada ya siku 2 kupita
Yaan apa naunga mkono hoja kama unaharaka safirisha tu kwa bus haya Malori yanahitaji uwe mvumilivu sanaaa na usipokaa sawa gharama yaweza kuwa zaidi ya bus
 
unatembea tu..
jana nmefka mbeya nikitokea kyaka-kagera via dom iringa zaid ya km 1700.
cha msingi tafuta koti zako kama 3 nzuri,vaa gloves,tafuta helmet ya kioo..
tembea na constant speed utakayochagua wewe.
tembea muda ambao unakuwa umeyaacha au upo nyuma ya mabasi ya dar.Madereva wa mabasi baadhi wana fujo. Malori usiyaogope madereva wako poa.
uwe na maji ya kunywa plus energy drink.ukijihisi uchov cmamisha chombo nyoosha miguu.
utafika tu usiogope wala wasikuogopesha.
hakikisha chombo umeifanyia service nzur
Umetoka Kyaka mpaka Mbeya kwa pikipiki??
 
Mzee si uende kariakoo uulizie Jonson transport pale mbele ya msimbazi wakusafirishie maana ni mafuso yanabeba mzigo dar arusha....kila siku yapo
 
unatembea tu..
jana nmefka mbeya nikitokea kyaka-kagera via dom iringa zaid ya km 1700.
cha msingi tafuta koti zako kama 3 nzuri,vaa gloves,tafuta helmet ya kioo..
tembea na constant speed utakayochagua wewe.
tembea muda ambao unakuwa umeyaacha au upo nyuma ya mabasi ya dar.Madereva wa mabasi baadhi wana fujo. Malori usiyaogope madereva wako poa.
uwe na maji ya kunywa plus energy drink.ukijihisi uchov cmamisha chombo nyoosha miguu.
utafika tu usiogope wala wasikuogopesha.
hakikisha chombo umeifanyia service nzur
Kuna jamaa yangu juzijuzi katoka zake Karatu hadi Dar na ndani ya wiki hiyohiyo karudi Karatu. Mbona kawaida tu. Muhimu ubora wa pikipiki yenyewe.
 
Back
Top Bottom