Nahitaji kusafirisha gari kutoka Dar kwenda Mwanza kwa kulipia kwenye magari makubwa

Sawa Mkuu,kwa kudrive Dar-Mza ( 1200km) kwa Ist tukifanya makadirio ya 12km/litre ni sawa na
100ltrs ( 160,000/=)
Driver (200,000/=)
Dharura (40,000/=)
Roughly ni kama 400,000/= jumla.

Service?
Maana kasema si zima sana, siyo kwamba ni bovu...
 
Nilikuwa najaribu kukadiria gharama za kulipeleka mza kwa kudrive ukilinganisha na kulipakia. Issue ya service ipo constant, aamue kuifanyia Dar au Mza.
Service?
Maana kasema si zima sana, siyo kwamba ni bovu...
 
Trc wanayo hiyo huduma, aende tu hapo stesheni watampatia utaratibu na nadhani itakuwa cheap option
 
Hivi unajua SGR ni lini itafika mwanza???

Au mnasemaje mods
 
TAZARA wana train ya mizigo na watu husafilisha magari yao kwenda Zambia kwa train ya mizigo, nimeona wazo lako yaani unataka ktk train ya abilia waweke bahawa ya mizigo kiti kama hicho hakipo, alafu muhusika anaitaji kusafirisha gari sio kuliendasha kwa sababu zake binafsi ambazo anazijua yeye kibinafsi leteni mawazo ya njia ya kupata usafili ili yeye aridhike na afanye huo upango
 
Watu wanalazimisha liendeshwe akati mleta mada anataka lipakiwe
Pesa sio tatizo kashasema

Mkuu nenda TRC chukua behewa usubirie Mwanza gari lako

#Staysafe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…