Nahitaji kusafirisha gari kutoka Dar kwenda Mwanza kwa kulipia kwenye magari makubwa

Freyzem

JF-Expert Member
Jun 29, 2013
8,098
2,000
Sawa Mkuu,kwa kudrive Dar-Mza ( 1200km) kwa Ist tukifanya makadirio ya 12km/litre ni sawa na
100ltrs ( 160,000/=)
Driver (200,000/=)
Dharura (40,000/=)
Roughly ni kama 400,000/= jumla.
Service?
Maana kasema si zima sana, siyo kwamba ni bovu...
 
gspain

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
1,324
2,000
Nilikuwa najaribu kukadiria gharama za kulipeleka mza kwa kudrive ukilinganisha na kulipakia. Issue ya service ipo constant, aamue kuifanyia Dar au Mza.
Service?
Maana kasema si zima sana, siyo kwamba ni bovu...
 
Masasaa

JF-Expert Member
Oct 23, 2015
452
500
Hivi hii huduma Shirika la Reli huwa hawana? Na kama hawana, wanaweza kushauriwa ili wawe nayo especially SGR itakapoanza kufanya kazi? Kwa sababu wakiweka angalau Behewa moja tu la aina hiyo kwa kila Trip ya treni Dar-Mwanza, na watu wakawa wanajua kuwa wanayo huduma hiyo, hili behewa lazima lijae.

Nashauri SGR itakapoanza kufanya kazi, TRC waweke Behewa moja kwa ajili ya magari kama mzigo. Na itawalipa kwa sababu mtu kuendesha gari Dar Mwanza inaghraimu mafuta ambayo si chini ya laki moja na hii ni kwa gari ndogo zinzotumia mafuta vizuri kama vile Toyta IST.

Sasa wao wakiweka fee ya laki moja kwa kila gari, ina maana behewa moja kwa safari moja linaweza kuwalipa angalau million 1, na hata likienda Mwanza halafu likarudi tupu bado litakuwa limewalipa
Trc wanayo hiyo huduma, aende tu hapo stesheni watampatia utaratibu na nadhani itakuwa cheap option
 
Hazchem plate

JF-Expert Member
Feb 25, 2011
8,627
2,000
Hivi hii huduma Shirika la Reli huwa hawana? Na kama hawana, wanaweza kushauriwa ili wawe nayo especially SGR itakapoanza kufanya kazi? Kwa sababu wakiweka angalau Behewa moja tu la aina hiyo kwa kila Trip ya treni Dar-Mwanza, na watu wakawa wanajua kuwa wanayo huduma hiyo, hili behewa lazima lijae.

Nashauri SGR itakapoanza kufanya kazi, TRC waweke Behewa moja kwa ajili ya magari kama mzigo. Na itawalipa kwa sababu mtu kuendesha gari Dar Mwanza inaghraimu mafuta ambayo si chini ya laki moja na hii ni kwa gari ndogo zinzotumia mafuta vizuri kama vile Toyta IST.

Sasa wao wakiweka fee ya laki moja kwa kila gari, ina maana behewa moja kwa safari moja linaweza kuwalipa angalau million 1, na hata likienda Mwanza halafu likarudi tupu bado litakuwa limewalipa
Hivi unajua SGR ni lini itafika mwanza???

Au mnasemaje mods
 
mbenda said

Senior Member
Apr 13, 2019
182
500
Hivi hii huduma Shirika la Reli huwa hawana? Na kama hawana, wanaweza kushauriwa ili wawe nayo especially SGR itakapoanza kufanya kazi? Kwa sababu wakiweka angalau Behewa moja tu la aina hiyo kwa kila Trip ya treni Dar-Mwanza, na watu wakawa wanajua kuwa wanayo huduma hiyo, hili behewa lazima lijae.

Nashauri SGR itakapoanza kufanya kazi, TRC waweke Behewa moja kwa ajili ya magari kama mzigo. Na itawalipa kwa sababu mtu kuendesha gari Dar Mwanza inaghraimu mafuta ambayo si chini ya laki moja na hii ni kwa gari ndogo zinzotumia mafuta vizuri kama vile Toyta IST.

Sasa wao wakiweka fee ya laki moja kwa kila gari, ina maana behewa moja kwa safari moja linaweza kuwalipa angalau million 1, na hata likienda Mwanza halafu likarudi tupu bado litakuwa limewalipa
TAZARA wana train ya mizigo na watu husafilisha magari yao kwenda Zambia kwa train ya mizigo, nimeona wazo lako yaani unataka ktk train ya abilia waweke bahawa ya mizigo kiti kama hicho hakipo, alafu muhusika anaitaji kusafirisha gari sio kuliendasha kwa sababu zake binafsi ambazo anazijua yeye kibinafsi leteni mawazo ya njia ya kupata usafili ili yeye aridhike na afanye huo upango
 
FORTALEZA

JF-Expert Member
Jan 1, 2017
4,732
2,000
Tairi vipara? Huna bima? Gari ya wizi? Kama sio, toa tenda watu wakupelekee chombo yako Mwanza mapema tu
 
leloic

JF-Expert Member
Apr 6, 2013
587
1,000
Watu wanalazimisha liendeshwe akati mleta mada anataka lipakiwe
Pesa sio tatizo kashasema

Mkuu nenda TRC chukua behewa usubirie Mwanza gari lako

#Staysafe
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom