Nahitaji kusafirisha gari kutoka Dar kwenda Mwanza kwa kulipia kwenye magari makubwa

just-imagine

JF-Expert Member
Aug 18, 2015
374
448
Habari wadau,

kama kuna mtu anamjua au ana husika na usafirishaji wa magari madogo kwa njia ya mizigo (kulipakia kwenye gari kubwa) kutoka DAR mpaka MWANZA, naomba aniunganishe naye.

NB: URGENTLY NEEDED.
 
Habari wadau,

Kama kuna mtu anamjua au ana husika na usafirishaji wa magari madogo kwa njia ya mizigo (kulipakia kwenye gari kubwa) kutoka DAR mpaka MWANZA, naomba aniunganishe naye.

NB: URGENTLY NEEDED.
 
Habari wadau, kama kuna mtu anamjua au ana husika na usafirishaji wa magari madogo kwa njia ya mizigo (kulipakia kwenye gari kubwa) kutoka DAR mpaka MWANZA, naomba aniunganishe naye.

NB: URGENTLY NEEDED.
 
Gari ni zima ama bovu? Kama gari ni zima nadhani ni bora ungetafuta dereva umlipe alipeleke kuliko kulipakia kwenye gari.
 
Gari ni zima ama bovu?
Kama gari ni zima nadhani ni bora ungetafuta dereva umlipe alipeleke kuliko kulipakia kwenye gari.
Asante kwa ushauri, gari sio nzima sana ndio maana nafikiria alternative nyingine.
 
Mku nipe mimi hiyo deal kwa dau alilotaja huyo memba hapo juu.
Maelezo zaidi (pm)
 
Gari ni zima ama bovu?
Kama gari ni zima nadhani ni bora ungetafuta dereva umlipe alipeleke kuliko kulipakia kwenye gari.
Gari kama haina tatizo sana ni bora ampe dereva apeleke.

Tuambie na tatizo linalosumbua gari lako ili tujue mtu akijilipua kutembea nalo ajiandae vipi.

Kama tatizo la kawaida nipe huo mzigo mzito nikeshe nao mpaka nafika Mwanza.
 
Back
Top Bottom