Gari nzuri za kutoka Dar kwenda Musoma

Abdul kalaam

JF-Expert Member
Apr 21, 2017
435
545
Habari wadau.

Nimekuwa nikipata changamoto sana kwenye kuchagua gari hizi za kutoka dar kwenda musoma. kila gari ninayopanda inashinda mwenzake kwa ubovu.

Naomba msaada wenu wadau, kampuni gani ina gari nzuri?
 
Panda happynation mkuu, chuma mpya hiyo
IMG-20230322-WA0015.jpg
 
Back
Top Bottom