Nahitaji kusafirisha gari kutoka Dar kwenda Mwanza kwa kulipia kwenye magari makubwa

Gari ina ubovu gani? Mbona IST zinatengenzeka vizuri tu tena kwa gharama nafuu. Imekufa nini? Sema tu lina tatizo gani tukutengenezee udrive mpaka mwanza
Gari sio bovu ila kwa sasa natakankuisafirisha kwa kulipakia. Btw asante kwa the alternative you gave.
 
Hivi hii huduma Shirika la Reli huwa hawana? Na kama hawana, wanaweza kushauriwa ili wawe nayo especially SGR itakapoanza kufanya kazi? Kwa sababu wakiweka angalau Behewa moja tu la aina hiyo kwa kila Trip ya treni Dar-Mwanza, na watu wakawa wanajua kuwa wanayo huduma hiyo, hili behewa lazima lijae.

Nashauri SGR itakapoanza kufanya kazi, TRC waweke Behewa moja kwa ajili ya magari kama mzigo. Na itawalipa kwa sababu mtu kuendesha gari Dar Mwanza inaghraimu mafuta ambayo si chini ya laki moja na hii ni kwa gari ndogo zinzotumia mafuta vizuri kama vile Toyta IST.

Sasa wao wakiweka fee ya laki moja kwa kila gari, ina maana behewa moja kwa safari moja linaweza kuwalipa angalau million 1, na hata likienda Mwanza halafu likarudi tupu bado litakuwa limewalipa
 
Sio bovu ila ningependa kulipakia.
Nadhani watu wengi wanashauri kudrive kwa kuzingatia transport cost, ingekuwa linatoka Mza kwenda Dar ingekuwa cheap sababu gari nyingi zinarudi tupu ila kutoka Dar mtu anaondoa gari pale amepata mzigo wa Mwanza moja kwa moja.

Kwa makadirio yangu inaweza ikakaribia 1M. Tena hapo ukipata gari yenye mzigo mwingine kama za cement ndio rahisi kusafirishia, shida hizo nazo zinapimwa kwenye mzani kabla ya kuondoka kwa hiyo unakuta haina nafasi (kwa maana ya uzito) ya kuongeza cargo ya ziada.
 
Mbona sio tatizo, badala jamaa atoke magu kuja Dar kupakia gari lake,anafanya ku delegate responsible,inasave pesa na mda na inatoa pia ajira na Ni cost effective
Mjinga gani atakubali mzigo wake ukasimamiwe na kishoka wa mtandaoni? usiamini watu kijinga ivyo na imani muhusika hawezi kosa mtu wa karibu wa kusimamia hilo yeye hitaji lake lilikua jisi ya kulisafirisha kwa kupewa bei, mawasiliano ya mawakala makini,au ushauri mwingine si huyo anaezinduka na kurauka et asimamie shuhuli yote kwa malipo na katoka from the middle of nowhere tuh
 
Hivi hii huduma Shirika la Reli huwa hawana? Na kama hawana, wanaweza kushauriwa ili wawe nayo especially SGR itakapoanza kufanya kazi? Kwa sababu wakiweka angalau Behewa moja tu la aina hiyo kwa kila Trip ya treni Dar-Mwanza, na watu wakawa wanajua kuwa wanayo huduma hiyo, hili behewa lazima lijae. Nashauri SGR itakapoanza kufanya kazi, TRC waweke Behewa moja kwa ajili ya magari kama mzigo. Na itawalipa kwa sababu mtu kuendesha gari Dar Mwanza inaghraimu mafuta ambayo si chini ya laki moja na hii ni kwa gari ndogo zinzotumia mafuta vizuri kama vile Toyta IST. Sasa wao wakiweka fee ya laki moja kwa kila gari, ina maana behewa moja kwa safari moja linaweza kuwalipa angalau million 1, na hata likienda Mwanza halafu likarudi tupu bado litakuwa limewalipa
Mafuta Dar Mwanza ni zaidi ya laki moja
 
Nadhani watu wengi wanashauri kudrive kwa kuzingatia transport cost, ingekuwa linatoka Mza kwenda Dar ingekuwa cheap sababu gari nyingi zinarudi tupu ila kutoka

Dar mtu anaondoa gari pale amepata mzigo wa Mwanza moja kwa moja. Kwa makadirio yangu inaweza ikakaribia 1M. Tena hapo ukipata gari yenye mzigo mwingine kama za cement ndio rahisi kusafirishia, shida hizo nazo zinapimwa kwenye mzani kabla ya kuondoka kwa hiyo unnakuta haina nafasi (kwa maana ya uzito) ya kuongeza cargo ya ziada.
Asante sana mkuu. Let me re-think about it. Nlikuwa sijui in details ndio maana nkaleta hilo swala hapa JF. Asante sana kwa mara nyingine.
 
Kwa uzoefu wangu watu huwa wanatafuta dereva wakulipeleka na gharama tu ya service+mafuta, kama gari sio mbovu gharama za service zitakuwa za kawaida tu. Sina uhakika kama ni njia sahihi kiuchumi kuisafirisha hiyo gari kwa kuibeba kwenye lori kama ni nzima.
 
Mjinga gani atakubali mzigo wake ukasimamiwe na kishoka wa mtandaoni? usiamini watu kijinga ivyo na imani muhusika hawezi kosa mtu wa karibu wa kusimamia hilo yeye hitaji lake lilikua jisi ya kulisafirisha kwa kupewa bei,mawasiliano ya mawakala makini,au ushauri mwingine si huyo anaezinduka na kurauka et asimamie shuhuli yote kwa malipo na katoka from the middle of nowhere tuh
Kwani hiyo gari iko viwanja vya jangwani au mnazi mmoja?.
SI iko kwa mtu,naye atakuwepo kusimamia ishu ya upakiaji?,huwezi pakia mzigo kwenye gari bila kudai scan ya kadi ya gari,leseni ya dreva wa gari linalopakia mzigo na mawasiliano ya dreva,kampuni inayopakia na pia dalali kishoka
 
Kwani hiyo gari iko viwanja vya jangwani au mnazi mmoja?.
SI iko kwa mtu,naye atakuwepo kusimamia ishu ya upakiaji?,huwezi pakia mzigo kwenye gari bila kudai scan ya kadi ya gari,leseni ya dreva wa gari linalopakia mzigo na mawasiliano ya dreva,kampuni inayopakia na pia dalali kishoka
Uyo Ni mganga njaa tuuh,ivi hawa vijana wa mtandaoni unawaelewa lakini? ,EPUKA KUPATA HASARA YA MWAKA KIZEMBE
 
Mbona IST kilasiku zinapuyanga dar to mwanza!!.

Hiyo gharama ya kulipakia kwenye roli si chini ya laki nane. Ni bora urekebishe tatizo hata kama gharama itaongezeka kwenye kutibu tatizo.Lakini gari itafika mwanza na tatizo utakuwa umelimaliza.
 
Wapi nilisema/nlionyesha nimeridhika na solutions.
Umefanya ujinga halaf unajitetea. So kwa ulichofanya hapo ndo unajiita Great Thinker?? Hata hyo mshana jr huoni ameshangaa. Halaf unasema "ndo ukubwa huo" . Najua mini ni mkubwa ndio maana ulipofanya Utoto nmekushangaa. Hapo ume-fail mkuu. Kuna mada zimejaa MMU na Kwenye majukwaa ya Jokes, go and make funny out of them.
Mbona mnapenda kukuza mambo madogo tu,kwani ukikutana na comment isiyo na msaada kwako si unaipotezea tu,mnapenda kujipanikisha bure tu.
 
Mbona mnapenda kukuza mambo madogo tu,kwani ukikutana na comment isiyo na msaada kwako si unaipotezea tu,mnapenda kujipanikisha bure tu.
Nlikuwa namuelimisha....asipende sifa za kuchekesha umati out of every topic.
 
Back
Top Bottom