Nahitaji kurudi nyumbani

Usiondoke best kweli mumeo amekosea hajakushirikisha mapema na hilo muonyeshe kama hujapenda siku nyingine asirudia alafu uwamuzi anaondoka nyumbani kwako kisa mgeni mpita njia sio fresh, fikiria endapo utaondoka.

1. binamu nyama ya hamu asije akukufanyia ufedhuri ndani ya nyumba yako, unajua mambo mengine wanawake tunayasababisha wenyewe kwakutokua wavumilivu kuondoka kwako unaweza msababishia mumeo upweke wa siku moja akatafuta babycare akikolezwa huko unadhani atakukumbuka tena.
 
Uondoke nyumbani kwako kwa sababu ya mtu?

Tena kwanza ulipaswa umseme mumeo kuwa next time muarifiane.

Pili unampa do and don'ts za nyumbani kwako mbele ya mumeo asijesema hajui

Baada ya siku 3 unampa majukumu yakr ya kufanya kila siku

Mwisho mwache asafishe macho


Ila chunga binamu nyama ya hamu....
 
Aione Asprin, chunga matesha na binamu zake.

Kuna ka kijana kanataka kuoa mtoto wa mamkubwa wake, kameshaapa hilo na kusema, we are not siblings, just cousins.

 

Khaaaa watu 10!!!
 

hahahahaaaa,,,,,, we unafikria kutokuoa, ukae single, huyu mankaa anafikiria kurudi kwao; sasa tofauti yako na yeye ni ipi? Ushasoma maoni hapa, jifunze namna ya kuishi na mke na ndugu, kaoe utengeneze tofauti. Cha!
 

Achana nae huyo nenda kwa huyu..



Ili sio swala geni ni kawaida yako jikumbushie na hapa....



 

Vumilia ni moja ya mitihani ya ndoa!me nilivumilia sana kabla ya kumfukuza mama Mkwe wangu.
 
Tatizo threads zako huwa haziaminiki bi mkubwa...
MKuu watu nane umestuka mapema daaa kuna uongo hadi una kera.....

By Mankaa

Habar zenu hopE mko good,

okay katika chat chat zangu humu c nkakutana na jamaa mmoja tukawa tumeelewana sana
tukachage namba basi daily lazma tuongee yan silali bila kusikia saut yake nae halali bila kunisikia (apo mie nina mchumba wangu) nae ana wake!

Basi tukapanga kuonana ye anakaa mbali kidogo na nilipo mkaka wa watu huyo kajaza mafuta huyoo mguu kwangu
akafika zake hotel akanialika for diner
nikajikwatua mtoto wa kike

Mie hyo hadi nilipoelekezwa kufika kuonana na yule mkaka oooh my God it was suprise sikuamini nilivutiwa sana na muonekano wake na yeye akafurahi sana kuniona .

Tukakaaa story tukapata diner vinywaj fresh
Kwa muda mfupi niliokaa na yule mkaka nulijikuta nimempenda na yeye pia alinambia amenipenda yupo radhi kwa lolote he doesn't care!ananihitaji .

Niliinjoy sana kwa kweli tulivyoagana dah acha tu ilikuwa majonzi sasa nipo njia panda jamaa ananiambia anataka kwenda nyumbani kwetu kwa gharama yoyote .

Nipeni msaada wenu mchumba wangu nampenda na huyu mkaka wa JF nimempenda tena sana
 
pole sana kwa hilo kaa na mwenzio myarekebishe yaishe unajua kufumba macho sio njia ya kuikwepa ngumi ya uso

Na pili akumbuke makabila mengine binamu kwenye yale mambo yetu ni ruksa so asije akaenda akarudi akakuta mke mwenzie kitmbo ndii
 
Aione Asprin, chunga matesha na binamu zake.

Kuna ka kijana kanataka kuoa mtoto wa mamkubwa wake, kameshaapa hilo na kusema, we are not siblings, just cousins.

Mke mwenza acha kabisa na "mabinamu" halafu mabinamu wakishaanza kutafunana hawaachi...
 
Kuna watu jf hawana adabu kabisa....
Wanatupindisha migongo watu wazima kutoa ushauri kumbe chai tupu.....
Heri kuhamia habari mchanganyiko...

 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…