Nahitaji kurudi nyumbani

ha ha ha ha uuuuuupsi ondoka wenzio tuhamie loo

acha utot kaa na mumeo muongeee

kumbuka baba ni kichwa cha familia kosa alofanya ni kukutokukushirikisha tu

tena yawezekana amefanya maksudi ili tu ajue tabia halisi ya mkewe
 

Duh
Una hasira
 

mgeni hana tatizo,inaonekana wewe unamatatizo na uyo mumeo nae pia ni janga ktk ndoa yenu.... kwanini hakufiche... kitu kama icho.?

acha ujinga ndoa hazivunjwi kama biekuti,kaa chini na mwanaume wako osovu ilo jambo jf sio suluhu kwa ndoa yako.
 
Mumeo kakosea kutokukushirikusha, Yes.bt hio sio sbb ya kuacha nyumba yako.

Unaposena hujajipanga? Nafikiri hapo ndo tatizo kwenye kutia hela mengine bla bla tu...

Kwa upande mwingine kumsaidia ndugu sio lzm uishi nae, una uwezo wa kumsaidia huko alipo..
Bt somtym kuna mazingira huwa magumu hivyo lzm uishi na hyo ndugu unaemsaidia..mfano katoka mkoa na ww ndo ndugu na kachaguliwa chuo mjini, hapo no way, though unaweza kumsaidia kwa.kumlipia hostel. .....
So ni vitu vya.kukaa chini na kuongea tu

Nb:more on others less on our self
 
Katika kusoma kuna siri kubwa msaidie sana mtu anaetafuta elim maana huwezi jua atakuwa nani mbeleni.Huenda akaja kua msaada mkubwa Kwa wanao au hata wewe mwenyewe kipindi ambacho utakua hujiwezi.
 
Unataka kuondoka kisa binamu ?kuna watu wanaletewa wake wenzao ndan na maisha yanaendelea
 
uondoke kwa lipi?yani kupata mgeni mi nshamwambia mme wangu hivi mradi kula unatoa wewe na gharama zote nyumba yetu kubwa inatosha walete hata mia ila cha msingj kwangu sheria na taratibu za nyumba yangu zifuatwe hata asiponiambia japo haipendezi yani sina shda atajua mwenyewe wanakuja wanakaaa wanaondoka hayo ndo maisha yetu.Mi hata siwazi tena wakipga simu nawaambia njooni si ndg yao mi hawanikomoi hata!
 
kuna watu wanavizia ndoa yako ondoka uone walikuwa wanawinda wakapata ki-ulaini. Kaa Mwaya ndio ukubwa huo , je kama angekuja mamamkwe mwenye tabia shurutishi ungefanyaje?
 
Wifi yangu ndo msumbufu ana 28yrs,lakini huwa nampa makavu,pia namuombea tu aolewe nae aende kwake,ki ukweli huwa sisumbui kichwa changu kuhusu wao as ninajua ni wapitaji tu

yani mi nashkru shemeji zangu si wasumbufu na wifi yangu japo anakuja likizo mi pia hawanisumbiagi akili mradi kaka yao ndo anaetoa gharama za kuwahudumia nashkru na ma mkwe ananipenda acha tu!mi siumizi kichwa kwa vtu vdogo km hv!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…