Nahitaji kununua simu yenye sifa hizi, je ni simu ipi itanifaa?

Mkuu nimeona dukani wanauza Nokia 3.1 sikumbuki vizuri. Hizi zina uhusiano gani na hizi zinazoanzia 6.1 au 7 na pointi zake.
Nokia 3.1 ni ya zamani sana na specs wise ni dhaifu kushinda A10, inamake sense kununua kama inauzwa chini ya laki 2.
 
Back
Top Bottom