Mshua's
JF-Expert Member
- May 22, 2013
- 801
- 546
- Thread starter
- #21
Habari wakuu! Simu za xioami hazipo mikoani na hawazijui kabisa. Nilitembelea kwenye instagram nikakutana na mawakala wao. Xioami note 7 wanauza laki 6 na nusu, halafu hiyo note 8 wanauza laki 8. Bei zao zilinishinda nikatafuta Nokia, nimezunguka balaa wanasema huwa haziuziki. Tigo shop zipo lakini nokia 1, 2.1 na 3, kuanzia nokia 6 hazipo. Siku iliyofuata nikabahatisha Nokia 6.1 imekaa tangu zilipotoka imekosa wateja ndio nikachukua hiyo. Ninavyoandika hapa natumia hiyo simu