Okol36
JF-Expert Member
- Jan 10, 2015
- 1,565
- 779
ETI ANATAKA PINGU KWA MATUMIZI YAKE BINAFSI.Sijui anataka kuwa tapeli
😀😀 kwahiyo anataka awe anajifunga mikono ili asipige punye.. zoezi gumu maana maamuzi ya kujifungua unayo wewe na maamuzi ya kupiga punye unayo wewe ni mda wako tuAcha kuanalia porn mkuu.....
Jerry Muro atakupeleka zinapouzwaWakuu nina hitaji kumiliki Pingu kwa matumizi yangu binafsi, je naruhusiwa kununua na wapi zinapatikana?
[HASHTAG]#maisha[/HASHTAG] kusaidiana wadau!
![]()
Sent using Jamii Forums mobile app
Bro ukizipata unishtue hata mimi nazihitaji kwa matumizi kama yako!
Asante mkuu,ila nyingine huwa nakuwaga aireee,wadau hawanisomi kabisaa mkuu.lol
Acha kuanalia porn mkuu.....
Heheh mambo ya S&M na role playing,au BondageMkuu nahisi anataka amfunge shemeji wakati wa kwichikwichi
DPP
Ungekua unataka hilo jeans ningekuuziaWakuu nina hitaji kumiliki Pingu kwa matumizi yangu binafsi, je naruhusiwa kununua na wapi zinapatikana?
[HASHTAG]#maisha[/HASHTAG] kusaidiana wadau!
![]()
Sent using Jamii Forums mobile app