Hahahaaa![]()
![]()
![]()
Pingu si ungeomba wanando waliofunga zile pingu za maisha si ndizo imara lakin?
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeona mkuu, ila ngoja nikaulizie maduka ya silaha kuna mdau amesema wanauza 80,000/=Watu wameishia kumnanga tu mtoa mada. Mi mwenyewe nilitarajia kupata kitu maana nahitaji hii kitu.
Lol! UmejuajeAcha kuanalia porn mkuu.....
Poa mkuu, utashare feedback.Umeona mkuu, ila ngoja nikaulizie maduka ya silaha kuna mdau amesema wanauza 80,000/=
Sent using Jamii Forums mobile app
YAWEZA KUWAETI ANATAKA PINGU KWA MATUMIZI YAKE BINAFSI.Sijui anataka kuwa tapeli
Au ni ile fetish wana fanyaga kumfunga manzi kwenye kitanda wakati wa ule mchezo
Mbona za bure zipo we kaibe tu ,utazipataWakuu nina hitaji kumiliki Pingu kwa matumizi yangu binafsi, je naruhusiwa kununua na wapi zinapatikana?
[HASHTAG]#maisha[/HASHTAG] kusaidiana wadau!
![]()
Sent using Jamii Forums mobile app